5439
JF-Expert Member
- Dec 25, 2025
- 373
- 870
Nna mpwa wangu wa kike yupo darasa la sita, ananiita baba ah ah ah ah ah
Hiyo ni kweli kabsa, mama ake alipata mme akaolewa, Mama yake kwa kutaka adumishe ndoa yake mtoto asiwe kelo aka muacha kwa bibi yake na mimi nikamuunga mkono kwa huduma zote za ako katoto now kasichana katakuwa darasa la saba mwakani
Hamjui baba yake tangu azaliwe kijamaa kilikimbia ujauzito mpaka mtoto, huwa namtaniaga kuwa anatakiwa amjue baba yake now ni mkubwa sasa, ah ah ah anacheka ananambia hata kama wewe ni mjomba angu mimi najua wewe utasimama kama baba yangu ,so sad
Inatia uzuni na kusisimua kwa mda mmoja na faraja pia , nakaaga namwambiaga mama sasa binti anakuwa hiv baba yake anajisikiaje huko alipo, mama” binaadamu hawafanani sio kama wewe unavyojali ukazani wote wapo kama wewe
Maisha haya daaah