Ogopa kitu kitu kinaitwa mtoto. Kuchakata K chakata ila mtoto ni msalaba mwingine. Kwanza hata kama upo tayari kuzaa lakini kuna gharama za mtoto. Si tu hela, hata muda lazima umtengee. Mimi binti yangu huji na kitumbo nikakupokea nyumbani kwangu. Mwenye Sperm zake anatakiwa aanze kutunza mimba hadi kumaliza PhD. Kama yeye hawezi basi msala ni wa babu au ... Kwa vile mtoto ni wa ukoo wao si ujombani. Na msimamo huu ulisaidia dada zangu na sasa watoto wetu kama ni P2 watumie tu.Ndio na nilikuwa naongea kwa uchungu wananicheka wanasema raha ya ngoma waingie wacheze na wao waone sio kusimliwa tu! Nikawaacha ila kuharakia maisha matokeo yake yanaathiri mpaka vizazi vyetu!
Aisee msimamo mkali uanzie chini sio mtu kashakomaa ndio akutane nao lazima atawapa jambajamba na wazazi wake tu! Misingi mizuri inajenga mipaka! Wengi wanaingia kwenye hilo shimo kwa tamaa za binafsi na wengine kwa kuamini watapata pumziko la shida zao! Lakini ukweli ni kwamba kuoana masomoni ni ujinga mkubwa wengi kinawalamba japo wengine wanafanikisha! Nina rafkiangu wamefanikisha na sasa ni familia bora kabisa kwa sababu wote walijua wanachokifanya! Sijui na kada zinachangaia🤔Ogopa kitu kitu kinaitwa mtoto. Kuchakata K chakata ila mtoto ni msalaba mwingine. Kwanza hata kama upo tayari kuzaa lakini kuna gharama za mtoto. Si tu hela, hata muda lazima umtengee. Mimi binti yangu huji na kitumbo nikakupokea nyumbani kwangu. Mwenye Sperm zake anatakiwa aanze kutunza mimba hadi kumaliza PhD. Kama yeye hawezi basi msala ni wa babu au ... Kwa vile mtoto ni wa ukoo wao si ujombani. Na msimamo huu ulisaidia dada zangu na sasa watoto wetu kama ni P2 watumie tu.
Ndio hivyo! Sio wote watapata furaha ya kulelewa na wazazi wote wawili, maisha yana mambo mengi sana!Nna mpwa wangu wa kike yupo darasa la sita, ananiita baba ah ah ah ah ah
Hiyo ni kweli kabsa, mama ake alipata mme akaolewa, Mama yake kwa kutaka adumishe ndoa yake mtoto asiwe kelo aka muacha kwa bibi yake na mimi nikamuunga mkono kwa huduma zote za ako katoto now kasichana katakuwa darasa la saba mwakani
Hamjui baba yake tangu azaliwe kijamaa kilikimbia ujauzito mpaka mtoto, huwa namtaniaga kuwa anatakiwa amjue baba yake now ni mkubwa sasa, ah ah ah anacheka ananambia hata kama wewe ni mjomba angu mimi najua wewe utasimama kama baba yangu ,so sad
Inatia uzuni na kusisimua kwa mda mmoja na faraja pia , nakaaga namwambiaga mama sasa binti anakuwa hiv baba yake anajisikiaje huko alipo, mama” binaadamu hawafanani sio kama wewe unavyojali ukazani wote wapo kama wewe
Maisha haya daaah
KWa upande wangu naamini kuwa kazi ya mwanamke ni kutunza mtoto tumboni mwake tu. Hapo jukumu lake kwa mtoto linakuwa limatamatika. Kuanzia anapojifungua ndipo mwenye sperms anatake over hadi amalize PhD. Kama mama yake atachukua jukumu, ni kukusaidia wewe baba. Haya ninayoyasema nimeyaishi mpaka kesho.Aisee msimamo mkali uanzie chini sio mtu kashakomaa ndio akutane nao lazima atawapa jambajambq na wazazi wake tu! Misingiz mizuri inajenga mipaka! Wengi wanaingia kwenye hilo shimo kwa tamaa za binafsi na wengine kwa kuamini wataoata pumziko la shida zao! Lakini ukweli ni kwamba kuoana masomoni ni ujinga mkubwa wengi kinawalamba japo wengine wanafanikisha! Nina rafkiangu wamefanikisha na sasa ni familia bora kabisa kwa sababu wote walijua wanachokifanya! Sijui na kada zinachangaia🤔
Nb: p2 ni hatari sana pale ambapo atatakiwa kutafuta mtoto na apate mwenye matatizo ni mbaya zaidi bora watumie kinga tu, p2 zinasababisha ectopic pregnancy!
Uko sahihi mzee, hapa bila kushikilia msimamo mabinti wnegi wanatumbukia katika hiki shimo!KWa upande wangu naamini kuwa kazi ya mwanamke ni kutunza mtoto tumboni mwake tu. Hapo jukumu lake kwa mtoto linakuwa limatamatika. Kuanzia anapojifungua ndipo mwenye sperms anatake over hadi amalize PhD. Kama mama yake atachukua jukumu, ni kukusaidia wewe baba. Haya ninayoyasema nimeyaishi mpaka kesho.
KWa mpangilio huo hata mabinti zangu huwa nawaonya na kuwapa msimamo huo. Ukiibeba kuna mtu na ukoo wa sperm donor ukahangaike si wetu.
Kwanini sasa🤣Kuna watu wanadhani huu uzi ni AI .
Kongole sana! Ni bora kuliko bystander, Japo kuna wanaume ni present father ila sio present hubby..🤦🏽♀️😂
Mi kuna mtu nilimpenda sababu he’s a present father…Mashallah yule kijana.
Kweli kabsaNdio hivyo! Sio wote watapata furaha ya kulelewa na wazazi wote wawili, maisha yana mambo mengi sana!
Hapo nilipobold, We nae akili kubwa!Kwanini sasa🤣
Kongole sana! Ni bora kuliko bystander, Japo kuna wanaume ni present father ila sio present hubby..🤦🏽♀️
Pia ninaona kama hakuna ulazima wa kuwa na watoto ni kheri mtu asiwe nao tu kuliko kuwaleta duniani na kuanza kuwapa malezi ya ajabu ajabu!Mama umewalea wanao kwa kudanga, ikifikia umri flani wanao wamepevuka, acha hayo mambo ili kuepusha wanao wasirithi tabia hiyo (i.e Kajala)
Baba ulikuwa msela mavi na ubabe usio eleweka. Badilika wanao wachote busara na maono mazuri toka kwako. (Dudubaya, Kala pina etc)
Hahaha eti akili kubwa😁Hapo nilipobold, We nae akili kubwa!
Nimesema AI sababu Kuna uzi mmoja wa malezi tulijadili humu, nikasema wengi 🚮
Mungu awatunze nakuwalinda sana wanangu sikuzote nawaombea watukumbuke wazazi wao.
umekuwa mwigulu 😁😁Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
Tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile bonding ya baba tangu mwanzo, akija miaka ya baadaye ghafla unataka “full respect package”, mara nyingi chemistry inakuwa forced.Ni kama mtu hakulipia membership miaka yote halafu anataka benefits zote siku moja.
Watoto hawakariri DNA sana, wanakumbuka presence.
Nani alikuwa karibu akiwa mgonjwa, nani alimjua anapenda nini, nani alikuwepo kwenye life yake wakati wa moments za msingi.nani alimpeleka shule au kumnunulia viatu.
Ndo maana unaweza kuona wille anaishi kiurahisi na marafiki au “masela wa Coco Beach” kuliko mzazi wake mwenyewe, sababu huko anahisi freedom na acceptance kuliko mazingira ya kulazimishwa mapenzi.
Halafu stress zikizidi tunaanza kuona posts za usiku za dudubaya
“Simtaki”, “sio mwanangu”me nwanangu ni maria tu..ile ni frustationna stress kutokana na kilevi na hasira.kwa sababu dudubaya kwa sasa hv ni mgonjwa ilipaswa wille kijana wake ndo akae naye hapo bahari beach.. relationship nyingi za baba na watoto haziharibiki siku 1 zinajengwa taratibu..
Hata kwa Diamond Platnumz watu wengi hujadili kuhusu baba yake. Imagine kama kungekuwa na picha nyingi za utotoni, memories, outings, bonding na presence ya karibu… labda leo hii public perception ingekuwa tofauti kabisa.
Siku hizi watu wanaona kuzaa kama achievement ya haraka.
“Kijana mzima lazima uwe na mtoto.”Lakini nobody talks kuhusu school fees, emotional support, muda, attention, na consistency.mtoto anakuwa mkubwa hajawahi kuona ukimbembeleza akiwa ana hasira au ukimpiga akiwa kakosea
Tusizae kwa pressure za sifa au kuthibitisha uwezo wetu wa mbegu ..mbegu ziko okaya muda wote as long unakula proteins..” Mtoto sio screenshot ya ushindi wa usiku mmoja. Ukifanya makosa ya bahati mbaya, usiyageuze kuwa maisha ya bahati mbaya kwa mtoto ambaye hana kosa lolote.
Mwisho wa siku mtoto anaweza kusamehe umaskin akaona sawa zamani hukuwa na hela za kumnunulia atakacho lakini ni ngumu kusahau absence yako hukuwepo akiwa under 10 years..na kama akitokea amekutafuta ukubwani basi kasikia wewe uko taasisi nzuri au una miliki migodi na hotel au umekuwa mwigulu..