Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wazazi wanazaa watoto 8 ila cha ajabu hao watoto 8 wanashindwa kuwatunza wazazi wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wazazi 2 wanawatunza 8Wazazi wanazaa watoto 8 ila cha ajabu hao watoto 8 wanashindwa kuwatunza wazazi wawili
Ndugu yangu acha tu, laana zingine tunajitafutia tuIla wazazi 2 wanawatunza 8
Yumkini tusifike mbali kiasi hiki.Utawapa malezi mama Yao anawapa sumu baba yenu alikuwa mlevi Malaya TU bila mimi msingesoma,kwani hujui upo ugomvi wa asili kati ya hizi jinsia mbili
MkuuWatoto ni wako wakiwa wadogo wakishakuwa omba TU Mungu
Mwambie huyu jamaa Huwa anahisi Kila kitu no juhudi tu hakuna kudra!!Utawapa malezi mama Yao anawapa sumu baba yenu alikuwa mlevi Malaya TU bila mimi msingesoma,kwani hujui upo ugomvi wa asili kati ya hizi jinsia mbili
Ushindwe kumjali mzazi kisa mke due kwani ukiwa unampa unamwambia wife.Mkuu
Unaakili mno aiseh!
Nadhani na umri wako umeenda!
Hasa sisi wanaume aiseh!kuwajali wazazi inategemea aina ya mke ulienae aiseh!!
Hata kama una roho nzuri sana utajikuta unafeli tu!!
Sio hivyo!!Ushindwe kumjali mzazi kisa mke due kwani ukiwa unampa unamwambia wife.
Ukweli mchunguWewe ukiwa kijana unao unazaa watoto unawapanga kama team ya Mpira, huwapi sapoti ya maana, unaongeza michepuko na vimada.
Pesa zinaishia kwenye Pombe unasubiri baadae uanza kulalamikia watoto?
Huono Kikwete hadi leo anampigania Mwanaye apate mafanikio?
Hujaona 2010 hadi 20215 jinsi Mzee Mwinyi alivyokuw akimpigania mwanawe ili awe rais?
Hujaona Jinsi Mzee January Makamba alivypambana kuhakikisha Mtoto anabaki kwenye Mfumo?
Mafanikio ya Watoto kwa asilimia kubwa hutokana na malezi na sapoti ya Wazazi.
Mkuu Mpaka leo Rizimoko ni Mtoto Mpendwa kwa Baba yake na Huenda bado anaishi kwa Baba licha ya kuwa ni Bilionea. kumbuka jinsi mzee Mwinyi alivyokuwa akijipeneldekeza kwa Magufuli akijua ndio mbinu ya amwanaye kutoboa.Ukweli mchungu
Kesho haitabiriki ndugu leo unazo kesho zimeishaIli kuondoa hizo shida kila mtu aangalie maisha yake ya kesho