Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

Wazazi wanazaa watoto 8 ila cha ajabu hao watoto 8 wanashindwa kuwatunza wazazi wawili
 
Sijaiosoma yote,ila aliyeandika mada hii (kama kumbukumbu zangu ziko sawa) nakumbuka kumsoma humu kwenye uzi aliouanzisha mwenyewe akiwa-challenge wanaowaza kuwatunza au wanaowatunza wazazi wao.

Ktk hali ya kawaida kumtunza mzazi haupaswi mtu kukumbushwa na yeyote yule iwe na vitabu vya dini au chochote kile kwa sababu zozote zile.
 
Utawapa malezi mama Yao anawapa sumu baba yenu alikuwa mlevi Malaya TU bila mimi msingesoma,kwani hujui upo ugomvi wa asili kati ya hizi jinsia mbili
Yumkini tusifike mbali kiasi hiki.

Hizo ni ajali za maisha siyo kila mtu zitamkuta kama mama yangu aliniambia hivyo au wewe alikuambia hivyo haimaanishi wote waliambiwa hivyo.
 
Watoto ni wako wakiwa wadogo wakishakuwa omba TU Mungu
Mkuu

Unaakili mno aiseh!

Nadhani na umri wako umeenda!

Hasa sisi wanaume aiseh!kuwajali wazazi inategemea aina ya mke ulienae aiseh!!

Hata kama una roho nzuri sana utajikuta unafeli tu!!
 
Utawapa malezi mama Yao anawapa sumu baba yenu alikuwa mlevi Malaya TU bila mimi msingesoma,kwani hujui upo ugomvi wa asili kati ya hizi jinsia mbili
Mwambie huyu jamaa Huwa anahisi Kila kitu no juhudi tu hakuna kudra!!

Mwambie watoto wakikua Wanasema "hakuna kama mama"hata kama ulisomesha international!!
 
Mkuu

Unaakili mno aiseh!

Nadhani na umri wako umeenda!

Hasa sisi wanaume aiseh!kuwajali wazazi inategemea aina ya mke ulienae aiseh!!

Hata kama una roho nzuri sana utajikuta unafeli tu!!
Ushindwe kumjali mzazi kisa mke due kwani ukiwa unampa unamwambia wife.
 
Ukweli mchungu
 
Ili kuondoa hizo shida kila mtu aangalie maisha yake ya kesho
 
Ukweli mchungu
Mkuu Mpaka leo Rizimoko ni Mtoto Mpendwa kwa Baba yake na Huenda bado anaishi kwa Baba licha ya kuwa ni Bilionea. kumbuka jinsi mzee Mwinyi alivyokuwa akijipeneldekeza kwa Magufuli akijua ndio mbinu ya amwanaye kutoboa.

Maskini yeye kawapanga kawatelekeza anatarajia miujiza watoto wakimtupa anaanza kulalamila eti laana.
 
Wenzetu ulaya wana system nzuri za malezi kwa wazee zinaitwa nyumba za malezi nchini wanazo wakatoliki tu kwa ajili ya mapadre.
Haya mambo ya kuacha wazee wajifie kwa shida zao ikiwemo njaa na magonjwa ndio laana zenyewe mambo hayaendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…