Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni kumnyima fursa muhimu kwenye dunia ya sasa.

Huko kuna maarifa zaidi hata ya anayofundishwa na mwalimu. Kuna waalimu huko youtube wanaeleweka na kufundisha vizuri kuliko wa darasani. huko kuna vitabu kuliko vilivyopo mashuleni. Na huko tunakoenda kutakuwa hakuna ulazima tena wa kuandika kwa mikono, watoto wazoee keyboard mapema.

Zamani ukitaka kujiunga maktaba, mzazi au shule ilikuwa inakudhamini. Wangefanya na hivyo kwenye simu. Mtoto anaposajili simu yake, mzazi amdhamini apate namba yake. Kuzuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kujishoot mguuni.
 
Watoto wakiafrica wanavyokuaga na nyege mshindo wakisha balehe na kuvunja ungo , ndo uwape smart phone yenye kila aina ya site za pornography?
 
Back
Top Bottom