Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #181
Dakika 25 zimesalia 😂😂Kama kweli vile 😂
Haipo mbali saa 11 dakika 40 zimesalia.
Ngoja ninywe lita yangu ya maji sasa 😅 IYKYK
Dakika 25 zimesalia 😂😂Kama kweli vile 😂
Haipo mbali saa 11 dakika 40 zimesalia.
Nikajua tayari!!!Dakika 25 zimesalia 😂😂
Ngoja ninywe lita yangu ya maji sasa 😅 IYKYK
Bado kidogo 🤣Nikajua tayari!!!
Ngoja nikuache ujiandae.Bado kidogo 🤣
Hiyo hiyo.Ile inaishia na 22 😏
Shida ananilazimisha kujibu na sijui Mara ya mwisho kunipa liniHahahahah au sio mkuuwewe hujajibu maswali hao
Poa nitakuchekiHiyo hiyo.
Eti 😯 huwa unajifanya nini?Shida ananilazimisha kujibu na sijui Mara ya mwisho kunipa lini
Anataka niseme najimbaga ndiyo aenjoy 😅😅😅
Wamebarikiwa sana, hawajui tu 😅3. Watu wanene wenye matumbo flat
Mara ya mwisho uli_____ na round ngapi?3. Watu wanene wenye matumbo flat
Sikukuu hii Vin, watu tumeanza mapumzikoLeo kariakoo kuko kimya sana watu Wachache mno
Mimi round 1 inanitosha tu. Sijawahi kwenda round zaidi ya 1Mara ya mwisho uli_____ na round ngapi?
Unatupanga, acha basi 😂😂🤣Mimi round 1 inanitosha tu. Sijawahi kwenda round zaidi ya 1
😀😃 Na nafsi yako inaenjoy kabisaa au akuandai vizuri jameniMimi round 1 inanitosha tu. Sijawahi kwenda round zaidi ya 1
Sio sababu ni kesho kinaweza kuwaka enewei ngoja nichukue mazaga nisepe afu Kuna bibie nimfate dukani kwake kula wifi ya bure hapaSikukuu hii Vin, watu tumeanza mapumziko
Enzo, mtuache tupeleke watoto ibadani X-mas, msituletee mambo ya ajabu jamani.Sio sababu ni kesho kinaweza kuwaka enewei ngoja nichukue mazaga nisepe afu Kuna bibie nimfate dukani kwake kula wifi ya bure hapa