Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Intelligent businessman we pacha una bahati sana ya kupendwa humu jukwaani..!!Inaanzia na I
Haya mshangazi wa mwaka wa mbele unakuulizia huku 😹😹😹
Ila mi nae mmbea khaaa!!
Intelligent businessman we pacha una bahati sana ya kupendwa humu jukwaani..!!Inaanzia na I
Acha kumbania uncle basi coca khaaaa!! 😹😹😂😂😂😂 I? Huyu Hawezi kuwa modes abadani.
Ba tamu nilimpendea vidole, upole, u serious na u introvert,
Yaan mijamaa migumu mie ndo ina nu turn on.
😂😂😂😂😂😂
Una nini lakini 😅Intelligent businessman we pacha una bahati sana ya kupendwa humu jukwaani..!!
Haya mshangazi wa mwaka wa mbele unakuulizia huku 😹😹😹
Ila mi nae mmbea khaaa!!
Kesho usiwapeleke watoto fungia ndani wacheze playstation,movie au wacheki katuni kesho balaaEnzo, mtuache tupeleke watoto ibadani X-mas, msituletee mambo ha ajabu jamani.
Kizuri share na nduguzo basi 😅
Number (04) kwa mazoezi na IbadaWatu mna upwiru siyo kawaida, kwa mlivyojazana na kushupaza vichwa kwenye huo uzi wa mrembo, naamini wengi wenu humu vichupa vimejaa.
Enewei, mida yangu ya kujidai, njooni jamvini tusemezane.
- Sema ukweli, mara ya mwisho lini umedinyana vizuri mpaka roho yako ikaridhika?
- Ushawahi kumtongoza ndugu au rafiki wa mpenzi wako? ilikuwaje?
- Kiungo gani kwenye mwili wa binadamu kinachukuliwa kawaida ila kinakuvutia?
- Ukizidiwa na mihemuko mnaipunguzaje?
- Kwanini mpaka sasa hivi hujalala?
Tutawalaani 😅Kesho usiwapeleke watoto fungia ndani wacheze playstation,movie au wacheki katuni kesho balaa
Si niwewe!Mbona mkesha bado, hapa tunapasha pasha tu kidogo!
Nusratt kapotelea wapi?
Inapendeza sana 👌🏽Number (04) kwa mazoezi na Ibada
KWani zinatakiwa rounds ngapiUnatupanga, acha basi 😂😂🤣
Nimeona gari la Field Force Unit hapa aloo jamaa sio powa 😀Tutawalaani 😅
Ukiandaliwa fresh inatakiwa tatu zifike na godoro lijae maji ikiwezekana mligeuze 😎🔥🔥KWani zinatakiwa rounds ngapi
Kwamba?3. Watu wanene wenye matumbo flat
Round 3 hiyo sasa vita, labda wafanya mazoezi wenye pumzi zaoUkiandaliwa fresh inatakiwa tatu zifike na godoro lijae maji ikiwezekana mligeuze 😎🔥🔥
Hujaelewa niniKwamba?
Wenye vitambia pia wanafikaRound 3 hiyo sasa vita, labda wafanya mazoezi wenye pumzi zao
Kwamba sisi wembamba haututakiHujaelewa nini
Masta ulifanikiwa kukutana na Anita kule Brazil?Kwamba sisi wembamba haututaki
Si ulishasema selfika hakutaki, au wewe ndiyo king’ang’anizi 😂😂Kwamba sisi wembamba haututaki
Anita nilimwona Ila kabadilika sanaMasta ulifanikiwa kukutana na Anita kule Brazil?
Hapana, si mimiSi niwewe!