Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mh sijawahi kuona Toka nianze huu mchezo bao litoke dakika 30 labda kama anatumia dawaSio mnene na hana kitambi
90% ya watu wanapiga goli moja moja.
Round zinapigwa labda kila baada ya dk 30 na mimi ninayepiga 1 na kulala wote si tupo sawa