Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Hizo dawa miyeyusho niliwahi kutumia matokeo yake nimeenda dakika ya 8 nikapizi nilijiskia vibaya kishenzi afu nili uziwa laki Moja jamaa aliniambia ukitumia unachekewa kupizi yaani dakika 20 ndio unatoa bao la kwanza
Aaanha Enzo, siyo kwamba wewe ndiyo hukurelax, ule mchezo hauhitaji papara aiseeh!

Halafu kumbe bei imechamgamka, haya tupe story, nani huyo ulikua unataka kumu-impress 😅
 
Back
Top Bottom