min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huo ni utapeli mtupu ili uvimbe bichwa kumbe hakuna kituNikizidiwa nisiseme moto ukizidi 🔥🔥 ila Kuna mbinu nikifanya utasusa hamchelewi nyie mara ooh baby nashindwa kupumua
Huo ni utapeli mtupu ili uvimbe bichwa kumbe hakuna kituNikizidiwa nisiseme moto ukizidi 🔥🔥 ila Kuna mbinu nikifanya utasusa hamchelewi nyie mara ooh baby nashindwa kupumua
Funguka usaidiweStress za mapenzi bwashee
Polee sana anko embu tupate udhamini kidogoAnita amekwenda bwashee ,nimefungwa jela kidogo na kutolewa kaolewa
Sasa hiv nikipenda mtoto wa mtu ni kwenda kwao kwanza asee ili kupunguza ligFunguka usaidiwe
Ni kweli average ya kawaida ni dakika 2 mpaka 15Mh sijawahi kuona Toka nianze huu mchezo bao litoke dakika 30 labda kama anatumia dawa
Kabla hujaenda kwao, hakikisha na yeye kakupenda 😎Sasa hiv nikipenda mtoto wa mtu ni kwenda kwao kwanza asee ili kupunguza lig
Hapo nikigundua ni michezo vidole vyangu vya mkono vitafanya kazi ya ziadaHuo ni utapeli mtupu ili uvimbe bichwa kumbe hakuna kitu
Kweli mtu anaumia akikosa kitu ambacho hanaSasa hiv nikipenda mtoto wa mtu ni kwenda kwao kwanza asee ili kupunguza lig
Uzi utakua mrefu mpaka una part 2 😅Akishindwa kutembea atakuja kututambia humu
Exactly 💯 na palivyo ule msuguano mixer joto walaqhi nice moment 😎Ni kweli average ya kawaida ni dakika 2 mpaka 15
Muongo muongo muongoKweli mtu anaumia akikosa kitu ambacho hana
Mimi mapenzi hayaniumi, naumia nikikosa hela
Hakuna muoaji hapoKabla hujaenda kwao, hakikisha na yeye kakupenda 😎
Eeeh 😂Muongo muongo muongo
Sasa Mimi hela nichache na mapenzi hakuna kabisa, uzuri nikikosa hela na hizi mvua michicha imejiotea hovyo silali njaaKweli mtu anaumia akikosa kitu ambacho hana
Mimi mapenzi hayaniumi, naumia nikikosa hela
Mtazoeana kuanzia sasa hivi, hana noma kabisa intell hujamzoea tu.!!Mahi, we jau sana 😅 unajua huyo mtu mi sijazoeana naye 🙃 ndiyo maana hata kum mention nikaona noma.
Poa, tutaanza kukuzingatiaMhmm Sio kweli ,humo humo Kuna ya ukweli mbona
Hizo dawa miyeyusho niliwahi kutumia matokeo yake nimeenda dakika ya 8 nikapizi nilijiskia vibaya kishenzi afu nili uziwa laki Moja jamaa aliniambia ukitumia unachekewa kupizi yaani dakika 20 ndio unatoa bao la kwanzaUnakojozwa raundi zote, hakuna kupoa 😅 kama mtu hawezi issac77 ana dawa za kuwaongezea nguvu.
Kujua anaekupenda ni ngumu ,hasa Mimi sijuagi Kama wanawake nao wanapenda etKabla hujaenda kwao, hakikisha na yeye kakupenda 😎
Unaijua vizuri nyimbo ile "mwanangu kua, kua nikutumePoa, tutaanza kukuzingatia