King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Wapo kina Sativa ,Mariam ,Ansbert ,Hilda na Mange akitokea pembeni wanatuwakilisha upande huo.😅😅😅😅
Wewe andika cha kuwarudisha kwenye reli mkuu.
Wapo kina Sativa ,Mariam ,Ansbert ,Hilda na Mange akitokea pembeni wanatuwakilisha upande huo.😅😅😅😅
Wewe andika cha kuwarudisha kwenye reli mkuu.
Ni bahati mbaya tu , acha kunisakazia hamasi basi
Waaambie basi waje humu washushe nondo, vijana waachane na mambo ya utamu!Wapo kina Sativa ,Mariam ,Ansbert ,Hilda na Mange akitokea pembeni wanatuwakilisha upande huo.
Huyu muoajiOgopa matapeli
Nakwama kwakua nakua Busy sana.Sasa huko Ulaya mbona nasikia Mbunye ziko nje nje, wewe unakwama wapi?
Nitawapa link huko TWITA waje kushusha NONDO.Waaambie basi waje humu washushe nondo, vijana waachane na mambo ya utamu!
Ni bahati mbaya tu , acha kunisakazia hamasi basi
Mwelezee huyoHuyu muoaji
Fanya nione basi
Nimechoka, mna mambo ya kihindi mnapenda kufukuzana fukuzana, sitaki nataka nyingi 😅 ila labda mwenzako keshachumbiwa, yuko committed na mtu mwingine.Mwelezee huyo
Naiomba tangu mwaka juzi nazungushwa tu, Ila ngoja nisichoke huenda nikapewa na kusepa nayo nijimilikishe kabisaNimechoka, mna mambo ya kihindi mnapenda kufukuzana fukuzana, sitaki nataka nyingi 😅 ila labda mwenzako keshachumbiwa, yuko committed na mtu mwingine.
Umemuuliza vizuri?
Atafutaye hachoki, akichoka keshapata.Naiomba tangu mwaka juzi nazungushwa tu, Ila ngoja nisichoke huenda nikapewa na kusepa nayo nijimilikishe kabisa
leo dada likes zinatosha sasa😂😂😂😂Hahahahah au sio mkuuwewe hujajibu maswali hao
Sasa hata ukipata sasa hivi si utakua busy tu 😅Nakwama kwakua nakua Busy sana.