Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #361
Andaa mpunga, nenda ukamuone urologist Agakhan!Asante Kwa ushauri mzuri. Hozipital gani nzuri huko inaweza nisaidia
Andaa mpunga, nenda ukamuone urologist Agakhan!Asante Kwa ushauri mzuri. Hozipital gani nzuri huko inaweza nisaidia
Utarudi kujibu swali la kwanza au la pili?Kuna sehemu nimetupa ndoano,
Ikinasa nitarudi kuchangia uzi.
Swali la kwanza,Utarudi kujibu swali la kwanza au la pili?
Hujawahi kudinyana au hujawahi kufanya ukaridhika?Swali la kwanza,
Bado sijawahi kuionja.
Kudinyana.Hujawahi kudinyana au hujawahi kufanya ukaridhika?
😒 why?Kudinyana.
Hebu nisaidie kutafuta ili na mimi nionje mema ya Dunia.😒 why?
Agha khan pale . Baada ya mwaka mpya naendaAndaa mpunga, nenda ukamuone urologist Agakhan!
Najua unanizingua tu, ila kutafuta inabidi uendelee kutupa ndoano tu mpaka samaki anase.Hebu nisaidie kutafuta ili na mimi nionje mema ya Dunia.
Hujajichua wala video za porno?miezi 8 sasa bila ngono,
Najihisi mimi Tena
Mwanangu kua, kua nikutumeKumbuka nimuimbie mtoto wangu
Sichagui sibagui,mradi awe na Mbunye tu.Najua unanizingua tu, ila kutafuta inabidi uendelee kutupa ndoano tu mpaka samaki anase.
Type yako ni ipi?
Sasa huko Ulaya mbona nasikia Mbunye ziko nje nje, wewe unakwama wapi?Sichagui sibagui,mradi awe na Mbunye tu.
Naanza kwa kuimba huku nasoma nikiikalili nimuimbieMwanangu kua, kua nikutume
Nikutume wapi, kwa mfalme
Kuna ng'ombe zetu 12,
Mmoja kafa kaliwa nyani,
Nyani mkinda, tumkindule
Tusole visiga, vya bwana chuma
Bwana chuma gani, simdodo
Simkindu dawa kanabuba..
Kuna Thread ya Nyimbo za zamani za watoto 👇🏽
Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui
Haya kaimbie kajukuu ketu, kakikua ukafundishe na “ukuti ukuti”Naanza kwa kuimba huku nasoma nikiikalili nimuimbie
Yeah! Full kumuimbia mpwa wake min meHaya kaimbie kajukuu ketu, kakikua ukafundishe na “ukuti ukuti”