Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #341
Wewe katoto nawe una mtoto 😊Kumbuka nimuimbie mtoto wangu
Hongera jamani!
Wewe katoto nawe una mtoto 😊Kumbuka nimuimbie mtoto wangu
Acha zako pacha, ujue trh 31/12 bado mbali nisije ota nakabwa kudadadeki😂Intelligent businessman we pacha una bahati sana ya kupendwa humu jukwaani..!!
Haya mshangazi wa mwaka wa mbele unakuulizia huku 😹😹😹
Ila mi nae mmbea khaaa!!
Aiseeh, nimeishiwa manenoUnajua kuna watu hawaogi hadi washikiwe fimbo..
Unakuta unamdinya mtu halafu mnapangusana kwa tishu kama mpo restraunt au kwa kutumia khanga, mkilala mnanuka kama nungu nungu..
Anyway, nililenga kusema kuwa wanawake wamalawi na wazambia hawa watu hawana tabia ya kunyima fursa kama ukiihtaji, halafu ni vidimbwi ile mbaya ni kama wanigeria
25 mtoto?Wewe katoto nawe una mtoto 😊
Hongera jamani!
Daah yani humu naongea na wanangu kabisa 😂25 mtoto?
1. Kipindi cha vita ya majimajiWatu mna upwiru siyo kawaida, kwa mlivyojazana na kushupaza vichwa kwenye huo uzi wa mrembo, naamini wengi wenu humu vichupa vimejaa.
Enewei, mida yangu ya kujidai, njooni jamvini tusemezane.
- Sema ukweli, mara ya mwisho lini umedinyana vizuri mpaka roho yako ikaridhika?
- Ushawahi kumtongoza ndugu au rafiki wa mpenzi wako? ilikuwaje?
- Kiungo gani kwenye mwili wa binadamu kinachukuliwa kawaida ila kinakuvutia?
- Ukizidiwa na mihemuko mnaipunguzaje?
- Kwanini mpaka sasa hivi hujalala?
Chafujo, naona ndiyo umeamka sasa 😂😂 tolea ufafanuzi jibu No 1,2 na 5.1. Kipindi cha vita ya majimaji
2.Domo zege ndio tatizo ( sijui hata tongoza )
3. Vidole
4. Nalala , namaaka nalala napiga misele kama dog mwitu
5. Vikoba
1. Mala ya mwisho kunyanduana kipindi cha vita ya maji maji au kama vile vita vya mau mau, ndio nifaidi.. nilipita bao hadi nikazimia.. ila siku hizi second 10 nyingi nishamwaga na usingizi juuChafujo, naona ndiyo umeamka sasa 😂😂 tolea ufafanuzi jibu No 1,2 na 5.
Haa haa, unataka kuniingiza mkenge wewe 😂 unajuaje kama sio yule wa TSR.Hamna bana hayo mawazo yako..!!
Mtaje sasa nikuitie hapa tumpe ujumbe wake, tuko nje ya muda tumebakiwa na masaa machache kabla hatujafunga mwaka..!! 😹😹😹
Sekunde 10 inamaanisha unaingiza tu na kumwaga, maana hapo hakuna hata kupump 😅1. Mala ya mwisho kunyanduana kipindi cha vita ya maji maji au kama vile vita vya mau mau, ndio nifaidi.. nilipita bao hadi nikazimia.. ila siku hizi second 10 nyingi nishamwaga na usingizi juu
Sawa, tafuta kwanza hela, mwanaume dhaifu hapendwi.2. Sijui kutongoza, inakuwa ngumu kuwatongozoa hawa wapenzi wa rafiki.
anyway naomba unifundishe kutongoza
Lipa kwanza madeni, mapenzi achana nayo kwa sasa.5. Mademi mengi hufukuza usingizi 😎
😎😎 Bora kawa hata kanaingia, kakigusa tu wazunguu haooo.. inauma sanaaaSekunde 10 inamaanisha unaingiza tu na kumwaga, maana hapo hakuna hata kupump 😅
Sawa, tafuta kwanza hela, mwanaume dhaifu hapendwi.
Lipa kwanza madeni, mapenzi achana nayo kwa sasa.
Pole nenda hospitali, inawezekana una tatizo la kiafya😎😎 Bora kawa hata kanaingia, kakigusa tu wazunguu haooo.. inauma sanaaa
Haitoshi kabisaHela nitafute shingi ngapi.. au elfu hamsini alitoshi kwani kama posho la mwezi ...
😅 😅 😅Uzuri deni halifungi, nitaendeleza punguza ila usingi urudi
FreshPoa poa niaje?
😀😀😀 Twende hivyo hivyo🤣🤣🤣🤣Yaeda Chini sasa hivi Kuna jua Kali sana
Asante Kwa ushauri mzuri. Hozipital gani nzuri huko inaweza nisaidiaPole nenda hospitali, inawezekana uan tatizo la kiafya
Haitoshi kabisa
😅 😅 😅
Hahaha 😂, mkuu hii click sound nikiisikia wakati namshughulika mtu huwa napata hamasa ya kuongeza spidi zaidi.Naomba hyo sauti niipe heshima yako, huwa tunaiita "CLICK SOUND au KISS SOUND" hapo unaweza fanya vitu vya ajabu sana, hamtanielewa tafuta mchina, mvietnam, mthailand mtanielewa!
HYO FOKOFOKO tafuta mnaigeria, msenegal, mmalawi/mzambia(hawa majirani hawakataagi mtu hata kama hujaoga)