Daaah!Na mimi nashangaa. Ni kweli wewe ni "me"?
Popote kambi sisi boda hatuna vituo rasmi.Sawa, natafuta mtu wa kumfanya awe boda boda wangu, huwa unapaki wapi?
Si mlisema ni fulani na mimi nikatembea huko hukoπUmesahau au ulikua ushapiga mbege akili imechamgamka π
Kwahiyo wewe zile sifa zote umemwagia Lucha π π πSi mlisema ni fulani na mimi nikatembea huko hukoπ
Wanaume wote humu kaka zangu, nisipoweka ukuta, wanaanza kunichosha πDaaah!
Ujue kuitwa kaka ni kuwekwa kwenye mpaka mkubwa sana!
Sawa, nipo Salasala, nipe mawasiliano niwe nakuita π πPopote kambi sisi boda hatuna vituo rasmi.
Namba yangu ni ile ile mkuu π¬Sawa, nipo Salasala, nipe mawasiliano niwe nakuita π π
Lucha mceng fulan sipendi coment zake yaan basi tuKwahiyo wewe zile sifa zote umemwagia Lucha π π π
Ni vile tu sijui nipoje sio muda huo msamiati wa kaka ungefutwa.Wanaume wote humu kaka zangu, nisipoweka ukuta, wanaanza kunichosha π
Na nina shemeji yangu, mchaga wa rombo, huwa nikikuona humu navuta picha ni yeye π
Kumbe na βmaninaβ unasema ππ looh basi huo ukaka naufuta rasmi π π πNi vile tu sijui nipoje sio muda huo msamiati wa kaka ungefutwa.
Halafu warombo bwana! Manina zao.
Ile inaishia na 22 πNamba yangu ni ile ile mkuu π¬
Lala bwana , ujuwe kuna karibia alfajiri!Kumbe na βmaninaβ unasema ππ looh basi huo ukaka naufuta rasmi π π π
Nasubiri huyu anayekoroma hapa aamke ili anilaze π π πLala bwana , ujuwe kuna karibia alfajiri!
Sina utani na wewe ila nakuhakikishia upo na mito tu!Nasubiri huyu anayekoroma hapa aamke ili anilaze π π π
Usinichekeshe kwa sauti usiku huu π€£π€£Sina utani na wewe ila nakuhakikishia upo na mito tu!
Kwa hiko kicheko si angeamka!
Nimecheka pole pole ππKwa hiko kicheko si angeamka!
Cheka kwa sauti ili aamke akulaze!Nimecheka pole pole ππ
Amechoka katoka safari, namvutia vutia muda, saa 11 namuamsha πCheka kwa sauti ili aamke akulaze!
Kama kweli vile πAmechoka katoka safari, namvutia vutia muda, saa 11 namuamsha π