Mzee wangu alituzaa wengi na Kwa mama tofauti tofauti, na Kila mtu alisoma kadri ya akili zake na uwezo wake. Na alihakikisha Kila mtu kampatia urithi wake ,na Leo kupitia Mali za urithi hakika maisha yanaenda maana bila urithi Mimi mwalimu ningekufa Kwa umaskini,note somesha watoto wale urithi wao na wote wajue ,toto lile halikusikii FUTA kwenye idadi ya watoto wako na wambie wenzake Kwamba huyu fala Hana chake
Hata wosia unapingwa tu mkuuHAYA YOTE NI MATOJEO YA SHERIA MBOVU NA ZA KIANITHI NA WANASHERIA NA MAHAKIMU NA MAJAJI WAPUMBAVU NA CCM NA BUNGE LA KIANITHI .... KOSA KUBWA SANA KUSEMA WOSIA UNATAKIWA KUWA SIRI ...SHERIA ILITAKIWA KUWA WAZI KUWA WOSIA NI LAZIMA UWE WAZI KWA WAUSIKA WOTE..SIYO MUACHA WOSIA AKIFA NDIYO UNASOMWA
Hekima za Wazee wa Karibu na familia ikawasaidie ili kuondoa hizi aibu za uzeeni na kurudisha amani kwa familia.Watoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
tunatoana roho yarabiiii iiiii kwa mali alizoacha apa apaaaaMali ya baba inatutoa roho
Wale wazee we ottu jazz band waliona mbali
kipi bora madeni au migogoroFamilia tajiri huacha migogoro kwa wanafamilia, tofauti na familia masikini huacha madeni ya mazishi
shida inaanzia mpango kando unapoleta njemba zitake gawiooNi
Hekima za Wazee wa Karibu na familia ikawasaidie ili kuondoa hizi aibu za uzeeni na kurudisha amani kwa familia.
Hujajibu swali nimekuuliza wewe mali zako utawapa watu wengine sababu watoto wako wanaweza kujitegemeaKama hukuwafundisha jinsi ya kuishi kwenye kutafuta mali zao bora uwagaie tu
Umeshindwa kuelewa logic na faida ya wosia kuwa open kabla ya kifo cha muandika wosia ...logic ni kwamba kama kuna tatizo basi lifumbuliwe na muhusika mkuu yaani muandika wosia siyo kuacha machafuko baada ya yeye aliye andika wosia kufa...Huyo uliyemfuta ukifa anakimbilia mahakamani apewe mali
Hata wosia unapingwa tu mkuu
Sidhani kama itasaidiaUmeshindwa kuelewa logic na faida ya wosia kuwa open kabla ya kifo cha muandika wosia ...logic ni kwamba kama kuna tatizo basi lifumbuliwe na muhusika mkuu yaani muandika wosia siyo kuacha machafuko baada ya yeye aliye andika wosia kufa...
Lwqkqtare nimeshangaa sanaHaya yalitokea kwa yule mchungaji maarufu wa kike kutoka Kilombero kama siyo Ifakara huko
Kusaidia nini ?Sidhani kama itasaidia
Ugomvi wa mali hauna cha elimu,uwezo,pesaYule mkubwa yupo Japan inamaana hata yeye anafurumushana na mali😂
Mkuu hebu tuweke heading ya gazeti la mwananchi,najuwa mwanangu huwa hubatishagiWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Kwani sio🙂Itakuwa ni wa nje mkuu kwa heshima yake siwezi kumuanika hapa kwanza sitaki anijue kama mimi ndo kapeace kivuruge jf, maana ye ananionaga very naive and innocent,,🤣🤣
Mali za wizi kugombewa ni wajubuWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Sio kabisaKwani sio🙂
Yule aliyewahi kuwa Mbunge na naibu waziri wa kilimo kama sijakosea, wa Kuitwa Mathayo?..si nasikia mzee aliweka kambani huko pembeni?.