Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

Hamkutakiwa kugawana mlitakiwa mchague mmoja aendeleze pepo lakugawana mali ndio linaimaliza ngoz nyeusi hizi umewaisikia akina asas ama dewj wanagawana mali
 
Mm naona ni wivu tu wa mtoa mada. Kwani ww ni mtoto w nje w mzee msuya? Pambana ujombani uko sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hamkutakiwa kugawana mlitakiwa mchague mmoja aendeleze pepo lakugawana mali ndio linaimaliza ngoz nyeusi hizi umewaisikia akina asas ama dewj wanagawana mali
Vimegawiwa kwa watoto wake na vitu vyoteee vipo chini ya mama mijengo

Na Mali zingine si haba Kila mtoto ana KAZI yake ya kumpa kipato

Ila mzee alikua na watoto wa nje wawili wakubwa kuliko sisi wote so wale mzee hakuwaweka kwenye Mali zake kwa sababu zake mwenyewe Kuna muda Waka Anza kutaka mgao wao.

Kwakua mzee aliweka wosia wa Mali zake akawa ame punch 👊 hili jambo la MIGOGORO YA MALI ZAKE MAANA SIO POWA
 



Unazungumzia mali au nyumba za kijijini na mshamba


Hapo watu hawapambanii mali hizi wanazoacha wazee wetu nyumba za uswahilini na mshamba ya miti


Wanasiasa wengi wakubwa unakuta ana nyumba kadhaa masaki Sasa unafikiri ni sawa na baba yako ambaye nyumba zake hata mkiuza hampati mil 500
 
Hapa una mzungumzia baba Yako au baba yangu

Au ulitaka kusemaje...?

Unamjua??
 
Hujajibu swali nimekuuliza wewe mali zako utawapa watu wengine sababu watoto wako wanaweza kujitegemea

Kwa hiyo bakharesa awape utajiri watu wengine sababu watoto wake wanaweza kujitegemea
unahisi baharesa au mo wanahaja ya kuandika wosia wa Urusi kwenye mali zao?
huko washavuka hata kabla hawajafa washaweka mifumo ya kuongoza mali zao
 
Nyie vijana mliosomeshwa vizuri sana tafadhalini ondoeni hii aibu mitandaoni,tafadhali sana sana mmeshindwa kukaa mkawekana sawa? Wana ndugu wa damu moja?
SHAME🛑
SHAME🛑
SHAME🛑
Mara nyingi ujinga huu huchochewa na upande wa dada waliooolewa na wanaume masikini hawa mara nyingi ndiyo chanzo cha kila kitu,aidha kama ni mtoto wa mzee wa kiume kuoa mke kenge mwenye liroho la ulafi.

WASOMI WAJINGA SANA HAWA
 
Wewe umesema watoto hawatakiwi kirithi mali yako yeyote hata nguo zako kwa sababu tu wanaweza kujitegemea

Wewe unapinga mtoto kuachiwa mali na mzazi wake
nimesema wapi hawatakiwi kurithi?

nimesema hawapaswi kugombana kuhusu mali za baba kwasababu baba alikuwa mtu mkubwa nilitegemea ashaawawekea watoto wake mifumo mizuri ya kujiingizia kipato
Kwa mfano sisi tumesomeshwa na mzee wetu wanaume tupo wawili wanawake watatu wote tunakazi kasoro mmoja wamwisho ndio bado anamalizaa masomo kwahio ikitokea mzee amekufa huyu wamwisho yeye ndio atarithi mali za mzee kwasababu atakuwa na muda wakuziendeleza

umeelewa point yangu?
 
Mzee baba hiyo Mpanju hapo mbona iko straight kuwa huyu ni Mrs Mpanju...
Mpanju (Daktari) ninayemfahamu na mwenye credentials zilizoelezwa nilimfahamu akiwa hajaolewa, na akiitwa Mpanju na akisoma Muhimbili!
Ila sasa nakumbuka, huyo huyo Mpanju (binti wa kihaya) baadae, miaka kadhaa mbele; mdogo wake wa kiume na yeye aliingia kwenye taaluma hiyo. Kwa hiyo inawezekana ikawa ni huyu Mpanju aliyemuoa huyo mtoto wa Msuya?
Still doesn't make much sense! Huyu 'Microbiologist' alisomea wapi, nje ya nchi?
 
Sasa huyo mwenye akili unazosema za Utajiri ndio anatakiwa apiganishe awape pesa yao wale wenye Akili za kimasikini ili huyo mwenye Akili za kitajiri abaki nazo hizo mali akiwa peke yake au na wale watakao kuwa wamekubali kuwa naye huyo Tajiri wa Akili 😳 !

Tatizo la undugu ni kwamba mkisha kuwa wakubwa na mkawa na watoto wenu hapo mapenzi huwa yanahamia kwa watoto sio kwa ndugu tena !
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…