Watoto wa Cristiano Rolnado baada ya baba yao kuhamia Man United

Ronaldo na Georgina waishi kindoa then ronaldo akazaa kwa surrogate mother na watoto wakaletwa na Georgina analea.
Ikumbukwe Georgina hana tatizo la uzazi.
Mimi naona hawa wazungu utamadudi wa matala ungekua kwao wangeumaster kichizi plus michezo yao ya threesome.
Wana tabia za ajabu, kuna mama aliacha ana na mume wake kisa alisema ame mcheat. Nikajua alikua na mwanamke mweingine, kumbe cheating aliyomaanisha ni jamaa alilishwa kiapo kuwa hatakunywa tena pombe. Siku mke wake alipogundua amekunywa pombe ndoa ikawa chali.
 
Ronaldo na Georgina waishi kindoa then ronaldo akazaa kwa surrogate mother na watoto wakaletwa na Georgina analea.
Ikumbukwe Georgina hana tatizo la uzazi.
Mimi naona hawa wazungu utamadudi wa matala ungekua kwao wangeumaster kichizi plus michezo yao ya threesome.
HUko kwa hao surrogate mothers hua inawekwa mbegu na yao la mama. Yani hapo lilipandikizwa yao la Georgina na mbegu za christiano. So watoto ni wao wote wawili. Hata Kanye na Kim wakifanya hivyo
 
Huyu anaitwa Georgina

Afu kuna yule ex wake anaitwa Iryna Shayk,, ni mzuri balaa

Wote hao ukiwaangalia utagundua Cr7 anakojoa pazuri aisee
Wana tako au ndip shape za kichaga
 
HUko kwa hao surrogate mothers hua inawekwa mbegu na yao la mama. Yani hapo lilipandikizwa yao la Georgina na mbegu za christiano. So watoto ni wao wote wawili. Hata Kanye na Kim wakifanya hivyo
Eeh ndo inakuwaje sijaelewa mkuu,ufafanuzizaidi?
 
HUko kwa hao surrogate mothers hua inawekwa mbegu na yao la mama. Yani hapo lilipandikizwa yao la Georgina na mbegu za christiano. So watoto ni wao wote wawili. Hata Kanye na Kim wakifanya hivyo
Cristiano Jr, Eva na Mateo (twins) wote wamezaliwa na surrogate mothers.
Alana pekee ndio amezaa na Georgina.
 
Back
Top Bottom