Watoto wa Jah kaya

Watoto wa Jah kaya

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
DSC00396.jpg

Ngoja afe Shilole JK atatoa mili 300
 
arifu wewe subiri wema sepetu aumwe utamuona JK na mama na manguo yake mita themanini wanatia timu hospital tena na kumuhamishia india kwa matibabu......
 
Duuuh jamaa alikuwa handsome jamani.
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa
 
Unalianzisha kwangu.....usije ukawa kunguru wewe.
Marehemu alikuwa yupo poa kimuonekano lakin alipojiingiza katika inshu hzo alipoteza hyo nuru.
Unaongelea habar yakuloa....au una hamu tuanzishiane?
 
Unajua memba gani anaongoza kwa ban jf? Naona unatishia pori kwa kiwembe, Pole.
 
Last edited by a moderator:
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa

Una maana she gets moist and wet at the site of Mangwair? Hi hi hi hi...get her some sanitary pads.:heh:
 
Unalianzisha kwangu.....usije ukawa kunguru wewe.
Marehemu alikuwa yupo poa kimuonekano lakin alipojiingiza katika inshu hzo alipoteza hyo nuru.
Unaongelea habar yakuloa....au una hamu tuanzishiane?
hapo ndio mademu wa bongo mnaponiacha hoi.....kuwa wet shauri ya mangwea ni kosa.....umeoyesha hisia zako kwa mchizi....not bad.....
 
Jini Mapembe na ww unakubaliana na hilo!!!!!!
alafu useme nakuonea kumbe wengi tumekuona.....usiwe mkali ni kawaida yenu kuwatokea hasa kwa mtu mnaomzimika....na hongera wenzako hali kama hiyo kamwe hawaipati hata sehemu nyingine nyingne.....ila kuna wengine hata wakisikia mlio wa piki piki wanawet......nikawaida uliza jf doctor
 
hapo ndio mademu wa bongo mnaponiacha hoi.....kuwa wet shauri ya mangwea ni kosa.....umeoyesha hisia zako kwa mchizi....not bad.....

Teh teh......Yo yo unaanza kuzingua tena sio.Ebu tengua kauli bhana hiyo.
P funk alisema kitu na nimeProve kupitia hiyo picha iliyokuwa humu kuwa jamaa kapoteaa yani hata kimuonekano ukilinganisha na hapo awali.
Sasa ww umekwenda mbaliiiiiiii!!!!!!!
 
Back
Top Bottom