Watoto wa Khadija Kopa ni exceptional singers

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Kuna marehemu Omary Kopa. Alikuwa na sauti, mbunifu na mtunzi mzuri kwa wakati wake. Bahati nzuri au mbaya yeye alichagua upande wa mama yake. Taarabu.

Yupo mwingine sitamtaja kwa vile hajaamua kuwa recording artist. Naye ana balaa lake. Ni wa kike.

Mwisho ni huyu binti aliyetambulishwa na lebo ya WCB. Zuchu.

Ukisikiliza EP ya nyimbo zake, tarajia kukutana na melodies tamu zilizoazimwa kutoka katika baadhi ya nyimbo tamu za wasanii mbalimbali.

Sijui makubaliano yakoje kwenye ishu za copyrights ila katika nyimbo hizi nne, utasikia:

1. RAHA - Kuna kionjo cha wimbo Janam Janam wa Shahrukh Khan na Kajol

2. KWARU - Kuna kionjo cha Tuma ya TX Moshi/Msondo Ngoma

3. MAUZAUZA - Kuna kionjo cha Kidudu Mtu ya Offside Trick

4. NISAMEHE - Kuna kionjo cha Gerua ya Sharukh Khan na Kajol

Naamini, bila kuweka ubunifu wa hivyo vionjo huyu binti asingekuwa gumzo hivi sasa. Mnaojua muziki mzuri mtakuwa mmenielewa.

Kejeli.
 
Mimi kama mlaji (mnunuzi) wasanii wote waendelee tu kutoa kazi, bila kujaribu huwezi kufanikiwa..., Wakipata opportunity wafanye kweli....

You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime
Eminem....
 
Twende na king Music
Achana na hao wazee wa kiki

My life is mine to remember
 
Albam ya konde ilisemwa kisa vionjo vya wasanii wengine kuwekwa humo ila ya huyu binti timu bundi kimyaaa kisa yupo upande wao
Tuanze kumponda
Mimi na wewe

My life is mine to remember
 
Hyo kwaru haielewek nyimbo hazina ushrikiano mwanzo mwsho ukicklizaaaa kila beti inaelezea vtu tofaut hakuna correlation kabsaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza hiyo 'wana' haikunivutia Sana labda bado muda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…