Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Kuna marehemu Omary Kopa. Alikuwa na sauti, mbunifu na mtunzi mzuri kwa wakati wake. Bahati nzuri au mbaya yeye alichagua upande wa mama yake. Taarabu.
Yupo mwingine sitamtaja kwa vile hajaamua kuwa recording artist. Naye ana balaa lake. Ni wa kike.
Mwisho ni huyu binti aliyetambulishwa na lebo ya WCB. Zuchu.
Ukisikiliza EP ya nyimbo zake, tarajia kukutana na melodies tamu zilizoazimwa kutoka katika baadhi ya nyimbo tamu za wasanii mbalimbali.
Sijui makubaliano yakoje kwenye ishu za copyrights ila katika nyimbo hizi nne, utasikia:
1. RAHA - Kuna kionjo cha wimbo Janam Janam wa Shahrukh Khan na Kajol
2. KWARU - Kuna kionjo cha Tuma ya TX Moshi/Msondo Ngoma
3. MAUZAUZA - Kuna kionjo cha Kidudu Mtu ya Offside Trick
4. NISAMEHE - Kuna kionjo cha Gerua ya Sharukh Khan na Kajol
Naamini, bila kuweka ubunifu wa hivyo vionjo huyu binti asingekuwa gumzo hivi sasa. Mnaojua muziki mzuri mtakuwa mmenielewa.
Kejeli.