Watoto wa Khadija Kopa ni exceptional singers

Huyu binti nimeshindwa kumkubali japo mauzauza Khadija kambeba vyema mwanae
 
Hahahaa Hii leo Kingwendu Bar Tender 😀 😀 😀 😀 😀.

🤣🤣🤣kale kazee bana ni burudani tosha, juzi nimeona youtube kanahojiwa , kilichonichekesha mtangazaji amekafata wakati kanashuka kwenye cruiser yake kakatoa kitambaa kanafuta jasho🤣
imagine mtu alikuwa kwenye cruizer anaendesha peke ake afu anashuka anafuta jasho


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Albam ya konde ilisemwa kisa vionjo vya wasanii wengine kuwekwa humo ila ya huyu binti timu bundi kimyaaa kisa yupo upande wao
Timu[emoji1657][emoji1657][emoji1657][emoji3][emoji2][emoji2960]
 
Mlianza kusema ooh anaimba taarabu,ooh hana tone ya bongo.fleva leo mmehamia kwenye ku copy melody sijui na vitu gani.........unafiki juu ya unafiki tu ndio mtaji wa masikni....LET'S GO ZUCHU.
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 huyo ndio kingwendu.
 
Samahani mkuu EP maana yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5. Sauti-vionjo vya Hafsa Kazinja
 
Fisi kasusiwa bucha. Ni suala la muda tu. East Africa Got Pregna..
 
Ukiiskia Wana ina vionjo vya ngoma ya Gerua inayopatikana katika movie ya Dilwale ya Shah Rukh Khan na kajol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…