Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma ya TX Moshi/Msondo Ngoma
Hili goma ni hatari sana!!! Nimesimama njia pandaa ya uhuru na msimbazi ndani kuna kingwendu.
Hahahaa Hii leo Kingwendu Bar Tender 😀 😀 😀 😀 😀.maisha haya eti kingwendu naye alikua video king[emoji23]
nilikaona pia kweny video ya FA na kina GK inaitwa hii leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa Hii leo Kingwendu Bar Tender 😀 😀 😀 😀 😀.
Timu[emoji1657][emoji1657][emoji1657][emoji3][emoji2][emoji2960]Albam ya konde ilisemwa kisa vionjo vya wasanii wengine kuwekwa humo ila ya huyu binti timu bundi kimyaaa kisa yupo upande wao
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 huyo ndio kingwendu.🤣🤣🤣kale kazee bana ni burudani tosha, juzi nimeona youtube kanahojiwa , kilichonichekesha mtangazaji amekafata wakati kanashuka kwenye cruiser yake kakatoa kitambaa kanafuta jasho🤣
imagine mtu alikuwa kwenye cruizer anaendesha peke ake afu anashuka anafuta jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu EP maana yake nini?Kuna marehemu Omary Kopa. Alikuwa na sauti, mbunifu na mtunzi mzuri kwa wakati wake. Bahati nzuri au mbaya yeye alichagua upande wa mama yake. Taarabu.
Yupo mwingine sitamtaja kwa vile hajaamua kuwa recording artist. Naye ana balaa lake. Ni wa kike.
Mwisho ni huyu binti aliyetambulishwa na lebo ya WCB. Zuchu.
Ukisikiliza EP ya nyimbo zake, tarajia kukutana na melodies tamu zilizoazimwa kutoka katika baadhi ya nyimbo tamu za wasanii mbalimbali.
Sijui makubaliano yakoje kwenye ishu za copyrights ila katika nyimbo hizi nne, utasikia:
1. RAHA - Kuna kionjo cha wimbo Janam Janam wa Shahrukh Khan na Kajol
2. KWARU - Kuna kionjo cha Tuma ya TX Moshi/Msondo Ngoma
3. MAUZAUZA - Kuna kionjo cha Kidudu Mtu ya Offside Trick
4. NISAMEHE - Kuna kionjo cha Gerua ya Sharukh Khan na Kajol
Naamini, bila kuweka ubunifu wa hivyo vionjo huyu binti asingekuwa gumzo hivi sasa. Mnaojua muziki mzuri mtakuwa mmenielewa.
Kejeli.
5. Sauti-vionjo vya Hafsa KazinjaKuna marehemu Omary Kopa. Alikuwa na sauti, mbunifu na mtunzi mzuri kwa wakati wake. Bahati nzuri au mbaya yeye alichagua upande wa mama yake. Taarabu.
Yupo mwingine sitamtaja kwa vile hajaamua kuwa recording artist. Naye ana balaa lake. Ni wa kike.
Mwisho ni huyu binti aliyetambulishwa na lebo ya WCB. Zuchu.
Ukisikiliza EP ya nyimbo zake, tarajia kukutana na melodies tamu zilizoazimwa kutoka katika baadhi ya nyimbo tamu za wasanii mbalimbali.
Sijui makubaliano yakoje kwenye ishu za copyrights ila katika nyimbo hizi nne, utasikia:
1. RAHA - Kuna kionjo cha wimbo Janam Janam wa Shahrukh Khan na Kajol
2. KWARU - Kuna kionjo cha Tuma ya TX Moshi/Msondo Ngoma
3. MAUZAUZA - Kuna kionjo cha Kidudu Mtu ya Offside Trick
4. NISAMEHE - Kuna kionjo cha Gerua ya Sharukh Khan na Kajol
Naamini, bila kuweka ubunifu wa hivyo vionjo huyu binti asingekuwa gumzo hivi sasa. Mnaojua muziki mzuri mtakuwa mmenielewa.
Kejeli.
Extended Play na nyimbo zinaanzia 3-6 na muda wake usizidi 30mins
Ahahaamaisha haya eti kingwendu naye alikua video king[emoji23]
nilikaona pia kweny video ya FA na kina GK inaitwa hii leo
Sent using Jamii Forums mobile app