entry
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 539
"who is your boyfriend" mkuu nimeshamsaidiaMbona umeishia kwenye ”who’s your girlfriend…” tu, balansi mzani kwa kuuliza na ile jinsia pendwa![emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"who is your boyfriend" mkuu nimeshamsaidiaMbona umeishia kwenye ”who’s your girlfriend…” tu, balansi mzani kwa kuuliza na ile jinsia pendwa![emoji2957]
Ukizaa mabinti zako,we waruhusu tu wakuletee ma boy friend mpaka nyumbani wajitambulishe,ruhusu pia boyfriend amfate binti yako,amchukue,aende nae kula raha,amrudishe jioni.Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo .
Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa akiona mahusiano kuwa ni jambo la kawaida hvyo Imekuwa swala la kawaida kwao pia imewajengea kujiamini pia kuwa na mahusiano yanayo dumu mda mrefu maana wengi hujikuta wapo kwenye mahusiano toka udogoni na hata familia zao zina ukaribu.
Madhara ya kutokujua mahusiano toka wadogo
1.Mwisho wa siku tumetengeneza kizazi cha watoto malaya ambao wamejificha kwenye mahusiano kuwa ni siri na kujikuta wopo kwenye mahusiano ya watu wengi kisa ni siri .
2.Tumetengeza ndoa nyingi zisizo dumu;ndoa nyingi hazidum maana watoto wengi wamejikuta wakianza kuwa huru na mahusiano wakiwa wakubwa na hasa wakifika chuo hivyo kukosa hata ile ukaribu sana wa kumjua mwenza wake kabla hawajaoana.
3.Watoto wengi wanakosa emotional intelligence;vijana wengi siku hizi yamekuwa wajinga na limbukeni wa mapenz wameshindwa kuhimili hisia zao hata kujicontrol mwisho wa siku wameishia kuteseka na mapenz lakn kama wangepata uelewa wa mahusiano toka wadogo ingekuwa nzur
Mwisho kabisa napenda kushauri wazazi tujaribu kukufundisha watoto wetu elimu hii ya mahusiano itasaidia sana mfano wapi ulijifunza kuhusu ngono ,ulijifunzia kwa kuangalia porno nadhan mtu akikosea kujifunza kitu inakuwa ngumu kujifunza tena mzazi unatakiwa kufundisha wanao kila kitu kabla ulimwengu haujamdanganya.
Kuwa kwenye mahusiano siyo kosa na wala siyo dhambi tena inasaidia kujenga mahusiano mzur unatengeneza kujiamin na inanifanya mtu kuwa romantic and emotional intelligent.
Hilo siyo jambo la utamaduni ni jambo la mzazi na mwanae ni kama unavo mfundisha kufanya usafi na mambo mengineSio kweli. Tamaduni zetu zinatoa mafunzo ya mahusiano (unyago kwa watoto wa kike na jando kwa wakiume). CCM na wadau wake wakapiga marufuku hayo mafunzo.....
Sijui kama unajua hilo?
Ni kweli ila unatakiwa kumbana lakn aelewe kwann haruhusiwei kutofanya kituNa wakiachiwa free ni hatari zaidi...
Kweli kabisa na hili limesabababisha limbukeni wengi wa mapenzi na watu wengi kuwa na mahusiano na watu wengiKibongo bongo ukikutwa tu umesimama na mtu unachezea mikwaju....
Tamaduni zetu zilivotujenga, ni ngumu hata mzazi kuongea mambo ya mapenzi na mtoto.(baadhi yetu)
Sio tu kuongea nae nitamshauri mtu gani wa kuwa nae ,vitu vya kuzingatia akiwa kwenye mahusiano madhara na mambo mengine mengi ikiwemo elimu ya ngono atapata kutoka kwangu kabla hajadanganywa na mtaaWe mwanao unaweza kuongea nae mapenzi?
Ndo hvyo lazima niwe makini asije akawa demu wa wana bureNa usipokua makini wahuni watapita naye balaaa...
Ni mfano tu hata ukisema who is ur boyfriend [emoji4],the adding do you think that boy is luck enough to have beautiful girl like you and why? Mtt anazoea kusifiwa mapenz hayata mshangazaMbona umeishia kwenye ”who’s your girlfriend…” tu, balansi mzani kwa kuuliza na ile jinsia pendwa![emoji2957]
Kuwa mwafrika hainifanyi kuamin kitu kizur cha mzungu ni usaliti kwa Afrika hapana but kuna mambo ambayo wanafanya vzur kuliko sisi so hatuna budi kuyaigaUkizaa mabinti zako,we waruhusu tu wakuletee ma boy friend mpaka nyumbani wajitambulishe,ruhusu pia boyfriend amfate binti yako,amchukue,aende nae kula raha,amrudishe jioni.
Mazee Bongo sio ulaya,uwezi kumlea mtoto wa kibongo kwa malezi ya ulaya hapa bongo!!ukitaka hivyo mzae hapa harafu ukamlee Mamtoni,hapo Sawa,
Na kwanini unaamini "wazungu'ndio reference nzuri ya malezi?acha utumwa wa kifkra,tulishatoka huko,waliotutoa huko,akina mzee Kaunda,wameishapumzika,usifanye wakakosa raha huko walipo.
Wapo vijana wanalelewa vzr hapa bongo,hakika,ukioa au kuolewa ndani ya familia hiyo,umepata dhahabu,
Watoto ni malezi tu.
Niliwahi kufanya kazi na CEO mmoja mkubwa sana,watoto wake wamezaliwa UK,na wanauraia wa UK,hao watoto Richa ya kwamba ni weusi,lakini Wana swaga zote za kizungu,
Pili Kuna Mtumishi mmoja hapa bongo,watoto wake wote wamezaliwa ulaya,wanasoma huko,
Ukienda Kwake,kama hajaambiwa hawa watoto wamezaliwa ulaya huwezi amini,
Watoto Wana heshima zote za kibantu,wanapiga mpaka lugha ya kimakua ya Kijijini kwa dingi yao,
Jifunze kulea tu,
Mtoto wangu wa miaka 5,
Anauwezo wa kutengeneza saketi ya taa,akaiunganisha kwenye umeme ikawaka,ni malezi tu,
Udongo upate...........
How comes mapenz yanakuwa hayana faida na ndo destination ya kila mtu ,unavo ongelea mahusiano unazungumzia yenye tuja mwisho wa siku yaje kutengeneza familia bora na pia mm nazungumzia ni moja ya skills ambazo mtt anatakiwa ajifunze kutoka kwa wazaziUkiachana na mahusiano mengine kuruhusu mahusiano ya kimapenzi kuwa kitu cha wazi kwa watoto wa kiafrika ni kama kutrigger timebomb.
Ukiachana na kuwa na tamaduni tofauti.
hali zao za kiuchumi zinachangia pakubwa kuruhusu wao kuwa na hizo mambo sababu uwezo wao wa kiuchumi unawawezesha kumudu consequences za hayo mambo.
Imagine mtoto wa masikini kutoka afrika aanze kuwa na maswala na mawazo ya girlfriends na boyfriends bila kizuizi.
bila shaka kitakachofuata ni balaa tegemea magonjwa ya zinaa kusambaa zaidi, ngono zembe kupita kiwango, mimba za utotoni, umasikini kuexceed and every kind of consequences related.
sababu now watajua tuko free na hakuna cha kuwazuia wala kunizuia.
My main point ni Umasikini kuongezeka sababu watakaofanya hayo mambo kwa wingi ni vijana na watoto na hao ndio nguvu kazi inayotakiwa ili taifa liendelee.
Ukweli ni kila mtu na vijana wengi wanapenda kufanya na kufikiria mambo yasiyo tumia nguvu nyingi za akili au kimwili yaani starehe. mambo ambayo mara nyingi ni forbiden.
sasa kama ukiwaruhusu vijana wafanye mambo ambayo ni prohibited basi hii nguvu kazi ambayo ni useless itakuwa useless mara mbili na taifa litakuwa full of chaos and ignorance kwa mara ya pili tena.
Instead watoto wa kiafrika waaminishwe na kuhumizwa kwenye creativity, imaginations, probrem solving, reasoning skills na how wataweza kuondoa umasikini kwenye kazi zote kama ni familia, kijamii au kitaifa..
Mapenzi hayana faida na hasara ni kubwa zaidi. considering sio lazima kwa kijana wala mtoto sababu kuna mambo mengi ya kutatua na kufanya pia kujifunza, na hiyo siyo sababu pekee.
Cha muhimu ni kumwambia mtoto yeye ni nani na anatakiwa afanye nini ili asipotee then hapo utakuwa umemaliza mengine sio ya lazima wala umuhimu wowote kwa mtoto au kijana (particularly ngono uliyoexhibit kama mapenzi).
Na kama taifa likianzia hapo basi hapo ndipo utakuwa mwanzo wa kupotea zaidi na kuanza kwenda against nature.
Sio kila tamaduni ni ya kuigwa na sio kila tamaduni ya kuigwa inaweza produce same results simultaneously.
Ni mfano tu hata ukisema who is ur boyfriend [emoji4],the adding do you think that boy is luck enough to have beautiful girl like you and why? Mtt anazoea kusifiwa mapenz hayata mshangaza
Haahahah asante mshuaSio tu kuongea nae nitamshauri mtu gani wa kuwa nae ,vitu vya kuzingatia akiwa kwenye mahusiano madhara na mambo mengine mengi ikiwemo elimu ya ngono atapata kutoka kwangu kabla hajadanganywa na mtaa
Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo .
Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa akiona mahusiano kuwa ni jambo la kawaida hvyo Imekuwa swala la kawaida kwao pia imewajengea kujiamini pia kuwa na mahusiano yanayo dumu mda mrefu maana wengi hujikuta wapo kwenye mahusiano toka udogoni na hata familia zao zina ukaribu.
Madhara ya kutokujua mahusiano toka wadogo
1.Mwisho wa siku tumetengeneza kizazi cha watoto malaya ambao wamejificha kwenye mahusiano kuwa ni siri na kujikuta wopo kwenye mahusiano ya watu wengi kisa ni siri .
2.Tumetengeza ndoa nyingi zisizo dumu;ndoa nyingi hazidum maana watoto wengi wamejikuta wakianza kuwa huru na mahusiano wakiwa wakubwa na hasa wakifika chuo hivyo kukosa hata ile ukaribu sana wa kumjua mwenza wake kabla hawajaoana.
3.Watoto wengi wanakosa emotional intelligence;vijana wengi siku hizi yamekuwa wajinga na limbukeni wa mapenz wameshindwa kuhimili hisia zao hata kujicontrol mwisho wa siku wameishia kuteseka na mapenz lakn kama wangepata uelewa wa mahusiano toka wadogo ingekuwa nzur
Mwisho kabisa napenda kushauri wazazi tujaribu kukufundisha watoto wetu elimu hii ya mahusiano itasaidia sana mfano wapi ulijifunza kuhusu ngono ,ulijifunzia kwa kuangalia porno nadhan mtu akikosea kujifunza kitu inakuwa ngumu kujifunza tena mzazi unatakiwa kufundisha wanao kila kitu kabla ulimwengu haujamdanganya.
Kuwa kwenye mahusiano siyo kosa na wala siyo dhambi tena inasaidia kujenga mahusiano mzur unatengeneza kujiamin na inanifanya mtu kuwa romantic and emotional intelligent.
Ninachofahamu lengo kuu la mahusiano ni kujuana kiundani ili kama mtaona mnpendana na kufaana muanzishe familia,sasa watoto wawe kwenye uhusiano kwasababu ipu mkuuWatoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo .