James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Haaaa....world cup 98 kuna dogo aalikuwa anaipenda sana Brazil...ilipotolewa dogo akawa analia Huku anarudi nyumbani. Kumbe home kwao walikuwa wanamtafuta mpaka wamechoka ....akafika home na machozi ya Brazil ....wakamuuliza unalia nini...eti mpira dogo alipigwa sana lakini hakuacha kutizama....Nilipoanza form one nikawa busy na masomo ila nilibaki kuwa mshabiki tu mpira, isitoshe nilikutana na wababe wa mpira jambo ambalo lilinifanya niachie nafasi watu waoneshe viwango vyao.
Jinsi muda ulivyozidi kwenda hadi kufika Advance nikaacha kushabikia kabisa mpira hadi sasa hivi, mpira sina time nao kabisa
We inaelekea kampani yako ilikua watoto wakike,...sa ulikua unacheza michezo gani shule???haya maisha bahati mbaya sijawahi kuexperiece na nimesoma shule za sante kayumba
Tushaanza kuwaona ambao hawajapitia haya maisha...huu mchezo ilikua mnaweza anza saa nane baada ya kutoka class mpaka giza liingie,..ka weekend ndo mnaweza cheza asubuhi mpaka jioni.Ila mkuu, goli 20? mlikuwa mnacheza na wasichana au mabonge?
Tushaanza kuwaona ambao hawajapitia haya maisha...huu mchezo ilikua mnaweza anza saa nane baada ya kutoka class mpaka giza liingie,..ka weekend ndo mnaweza cheza asubuhi mpaka jioni.
Magoli 75..!? Mlikua mnacheza mdako nyie sio mpilaMe kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
Aaaaaaaaahahah nyie mlipaswa muwe marekani maana sio kwa vizuizi hivyo asee hahaha hvo ni vizuizi vya kimataifanakumbuka kiwanja chetu cha mtaa kilichukuliwa na wakubwa kwa mda baada ya uwanja wao mkubwa kuchukuliwa kufanyiwa mikutano ya kidini pande za kawe home,, sasa wakawa wanatunyanyasa kila ikifika saa kumi tu, wanakuja kutufukuza wacheze wao.. tukaunda tume ya kuwaondoa hawa ma bro,, tukakubaliana twende beach tukachukue mbigili za kutosha tukazimwage uwanja mzima mpaka magolini.. tukaenda tukajaza mifuko na mifuko, tukazimwaga usiku zote,,, kimbembe kesho yake, wakubwa wanakuja kucheza hawajatukuta wakaona mtelezo,, sie tumekaa tunawaangali tu,, maana wengine walikua na viatu wengine hawana,, wengine walioanguka wanakutana nazo,, mpira haukuchezeka siku hiyo, wakaanz kutusaka tukazoe miba tuliyoimwaga uwanja mzima. hakuna aliyekubali kama kamwaga mbigili.. na wao ndo ikawa mwisho wao kucheza pale wakahamia uwanja mwengine,, vijana tukarudi tukaanza kuzitoa mojamoja japo hatukuzimaliza,, ila shuhuli nasi ilitupata ya kuchomwa nazo maana hatukuzimaliza,, zilikuja kuisha kwa kutuchoma, unaiokota unaenda kuitupa..
Aahah hako kamsemo ka kinyama hichoo aseee ukiitiwa hivyo ni bora hata usepe maana hata ukikaa nje ya uwanja wahuni wanakufata na kukuchezea rafuTunachanga hela tunanunua Kondomu 70 tunachukua tatu tunafuma! Mpaka zinaisha hapo hsta gozi cha mtoto.. Usipochanga no kucheza na ukiingia kinguvu watu wanasema KINYAMA HICHO basi ukigusa mpira unarukiwa mabuti na rafu za kufa mtu mwisho unarud nje
Dah vitisho kumbe vimechipukia huku?? Aaahahaha st kayumba mwalimu aseeHiki cheo nilikitumia kwa uaminfu mkuu..kuna siku nimeingia sculi j3 kaptula imejaa mafuta ya maandazi weekend ckufua....nikamwita RAIA mmoja nkamwambia anipe ya kwake alaf namfuta jina LA wasumbufu. Axee mstarini kwenye ukaguzi alichapwa za kutosha mwili mzima mtaalamu nimetulia tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa huo mpira kuna watu hawajui mpka leo unafumwa kwa kamba za aina gn
Aahah majina haya ni???? Anajua mungu[emoji23][emoji23][emoji23]daudi noma
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
hahahahahhah we umenikumbusha mbali, na wale ambao walikuwa na afya mgogoro walikuwa makipa piahahahahaaa bs ww lazma unakaubonge fln hv[emoji28]
viatu hatutaki, ukivaa njumu huchezi bora hata raba za DHyaaaah na anakua na sheria zake.....hakuna kupiga shuti na anakuwa anapewa pasi kinyama yn[emoji23]