Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
hahaaa wewe ulikuwa nimviziaji...watu kama wewe mpira wakuchezeshwa na refa mlikuwa hamtaki hata kuusogeleami nilikua naibia kinoma bs nimipiga goli wadau hulalamika tu..
"kipa na ndani" ushacheza weye?nakumbuka nilikuaga kipa asee nilikua nazngua kinoma noma [emoji16][emoji16][emoji16]
Dhaaaaaaaa acha kabsa aiseeehahahahahaaa itakuwa vidole vimebaki nyama tu hapo sasq
yep!yani unapiga kote kote au sio...?
hahahahaaa daaah hamna jambo la aibu kwenye huo mchezo kama kupigwa tobo au kanzu aisee......Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
mkuu " bwana ..mpira wa refa ndio mzuri sasa .ila refa mwnyew asiwe na maamuzi kama ya Jecha ..hapo ndio utakapo ufaidihahahahaaa kabisa yn...
mana unanipunguzia magoli bhana
huu mpira kama mtu hujapitia bs hata akili yako lazma idumae.....mana unajifunza mengi sana ndani yakeAsilimia 98 ya makovu ya mwili wangu mpka sasa yanatokana na mpira.....nshanyimwa chakula...nshachapwa sana.. nshakimbia sana kuoga koz of vidonda...cha ndimu kiheshimiwe sana....