Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

sasa kwenye picha huyo dgo umeona jinsi ambavo yupo kuchambua kijiji......bs hzo ndo zilikua zangu yn......hapo wanakula chenga mpka wanarudi nyumbani njaa zinawauma kinoma[emoji41]
 
Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
 
Ikitokea penati, basi hapo kila mmoja anang'ang'ania kuwa kipa...
 
Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
hahahahaaa daaah hamna jambo la aibu kwenye huo mchezo kama kupigwa tobo au kanzu aisee......
 
Asilimia 98 ya makovu ya mwili wangu mpka sasa yanatokana na mpira.....nshanyimwa chakula...nshachapwa sana.. nshakimbia sana kuoga koz of vidonda...cha ndimu kiheshimiwe sana....
 
Nilikua nikifika uwanjani kama wameanza kucheza mechi inasimama wananigombania,yani nikiamua kucheza timu moja ile nyingine inapewa wachezaji wawili kama compensation kufidia..
Kutoa kucha,ngozi za kwenye vidole,magotini,kawaida,shida wakati wa kuoga *****. Yani kuna siku tulicheza sijui kuanzia saa 4 adi saa 12 njaa haziumi .
 
Asilimia 98 ya makovu ya mwili wangu mpka sasa yanatokana na mpira.....nshanyimwa chakula...nshachapwa sana.. nshakimbia sana kuoga koz of vidonda...cha ndimu kiheshimiwe sana....
huu mpira kama mtu hujapitia bs hata akili yako lazma idumae.....mana unajifunza mengi sana ndani yake
 
Back
Top Bottom