Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
OkDaluga, six meno, kiatu ya kuchezea mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkDaluga, six meno, kiatu ya kuchezea mpira.
Mi nimechezaa hivyo vyotee kibaba na mama nilikuwa naolewa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah unakuta eti Sabrina anaenda shule na school bus na kurudi nalo then anakua ndani ya geti,,muache Sabrina akacheze madange huko ,akacheze kibaba na kimama ,[emoji12] [emoji12]
Hivi kuna watoto wa kishua wanatamani hii life?
Katika vitu ambavyo ninajivunia kwa sasa ni kupitia kwenye maisha hayo,,,,hawa watoto wa sahiz hata wakikua sijui watasimuliana nini yani
Hahahahaha hata mimi nilikuwa kipa butimbamana makipa wa huu mchezo mara nying tulikua tunawachagua mabonge bonge
Wewe utakuwa msukuma "unauliga"Hapo pensi umeifungia kamba ya kiatu, mfukoni una goroli mbili, hapo mpira unauliga kwa Ndore/Dole gumba hadi kucha linangoka upaka mchanga habar kwisha.
Fainali ni kutoa njunja/Funza vidolenj
Tena ilikuwa kidonda chochote unaweka mchanga na kinapona chenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23] yani ilikua ni noma sana aisee....kucha zilikua zinapona within three days tu tena kwa mchanga......kwenye magoli mmejaza viatu na mabegi kibao
Duuuh umenkumbusha mbali xn aisee, mwaweza kua watu 6,14 hata 40 mtakacho kifanya ni kupanga folen then anatoka mmoja mmoja kupata timu 2...ko timu haikua na idadi rasmi ya wachezajihahahahaaa we ulikua wakishua mwanangu na hapo lazma mpira unaozungumzia ni gozi,,,,, mana hii ya makaratasi ilikua haiitaji idadi ya wachezaji ndani....hata mkiwa 30 mnakipiga tu[emoji16]
Mimi nilijifanya bingwa wa kukimbia badala ya kushika mti nikawa nashndana mbio wala sishiki mti nilipigwa mtama nikadondoka chini wacha raia wanishambulie nilijuta sanaa siku hiyo.Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
Lakini mkuu mimi kuna jambo najiuliza,kama sisi tulipitia maisha Yale kwanin leo hii tuwakataze watoto wetu wakirudi shule wasitoke nje ya geti ,,yani tunataka mtoto weekend ashinde kufanya homework na kuangalia tu katuni,kwamba tumebadilika sisi wazazi,au tuna upendo sana na watoto au nn yaniYoutube, Facebook, instagram, tamthilia za kiphilipino na bongo movie. Tatizo kubwa litakalo wakabili ni magonjwa ya uzito wa ziada na presha katika umri mdogo, hawana shughuli za kuwachangamsha.
Lakini mkuu mimi kuna jambo najiuliza,kama sisi tulipitia maisha Yale kwanin leo hii tuwakataze watoto wetu wakirudi shule wasitoke nje ya geti ,,yani tunataka mtoto weekend ashinde kufanya homework na kuangalia tu katuni,kwamba tumebadilika sisi wazazi,au tuna upendo sana na watoto au nn yani
Muha!Wewe utakuwa msukuma "unauliga"
Mimi nilijifanya bingwa wa kukimbia badala ya kushika mti nikawa nashndana mbio wala sishiki mti nilipigwa mtama nikadondoka chini wacha raia wanishambulie nilijuta sanaa siku hiyo.
Hahahaha naona baadhi ya maneno yanafanana na kisukuma aiseeMuha!
Tatizo hakuna mfumo maalumu wa malezi kila mzazi analea anavyoona yeye ni sawa wazazi wenyewe ndo hawa ASANTE SHULE,anapata rizki kutokana na cheti,bila cheti maisha hayaendi. unategemea atafikiria kumtengenezea mtoto ratiba ya michezo na kumpa sapoti kwenye sanaaa na extra caricular activities nyengine,alafu shida nyengine sawa unaweza ukataka acheze sawa,swali linakuja akacheze wapi?,viwanja vya wazi vingi vimeuzwa na vilivyo wazi havifai ama ndo maskani ya wahuni.Lakini mkuu mimi kuna jambo najiuliza,kama sisi tulipitia maisha Yale kwanin leo hii tuwakataze watoto wetu wakirudi shule wasitoke nje ya geti ,,yani tunataka mtoto weekend ashinde kufanya homework na kuangalia tu katuni,kwamba tumebadilika sisi wazazi,au tuna upendo sana na watoto au nn yani
Hahahahaha inaonekana ulikuwa mbabe.Pole sana mkuu, huo mchezo wa kuingiziana tobo ilikua wakinizonga nainua mguu mmoja juu mmoja unabaki umekanyaga chini. Haina namna utaniingizia tobo. Walikua wanadunda utasema wote ni ukoo wa Matumla
Hahahahaha inaonekana ulikuwa mbabe.