Watoto wa kiume ni wagumu kuwasadia wazazi wao kuliko watoto wa kike

Sidhani kama kuna mtu anaekataa kusaidia wazazi wake kwa kadri ya uwezo alio nao. Ishu hapa ni kwamba tunalaumiwa watoto wa kiume kwamba hatuwajali wazazi ukilinganisha na watoto wa kike wanavyowajali. Ndio tukasema moja ya sababu inayopelekea hilo ni wanaume kusongwa na majukumu mengi kuliko wanawake.

Ikumbukwe kuwa kila mtu anapofikia umri fulani inabidi awe na familia yake regardless ya uwezo wa kifedha. Hata wazazi wenyewe wanatambua hilo. Ndio mfumo wa maisha ulivyo. Na ukishakua na familia automatically majukumu yanaongezeka na msaada lazima utapungua.

Sidhani kama kuna mwanaume awe kweli ana maisha mazuri anaishi kifahari halafu wazazi wake wanakosa chakula au pakulala huo utakua ni utaahira.
 
Upo sahihi sana mkuu!
 
Kawaida tu kwa mwanaume hata ufanye nini.

Tunatafuta wee, mwishoni wanaishia kusema nani kama mama
 

Hii imetoka na tabia tuliyoridhishwa (isiyo sahihi) ikisema kuwa, Kipato cha mwanaume ndicho cha familia na kipato cha mwanamke ni cha kwake mwenyewe
Kwa kupitia mwanya huo, wanawake huweza kuwa na hela nyingi hata kama ana kipato sio kikubwa na sehemu kubwa kuielekeza kwenye familia yake huku mwanamme akipambana kuendesha familia yake na kusahau kwao...

Kimsingi Biblia ilisema, mwanamke akikaa nyumbani kuzaa na kulea na Kuangalia familia; matunzo yake na ya familia yatatolewa na Mwanamme kwa asilimia 100% ambapo ni sahihi kabisa
ILA kama mwanamke wako anafanya kazi hapo ni tofauti kwani; anatoka asubuhi kufanya kazi na kurudi jioni huku ameacha jukumu la kulea watoto na familia kwa dada wa kazi (House girl) anastahili kutumia kipato chake kwenye familia.

Wanaume wameendelea kukomaa wenyewe huku familia walikotoka vijijini zina angamia kwa dimbwi la umasikini (na wanawake kutumia hilo gap la kusema Biblia imeandika,,,,,,kama "Hawa" alivyo mdanganya Adam akala tunda)
Huo utaratibu wa kushirikiana kipato ukifuatwa vizuri, kutakuwa na bajeti ya kusaidia familia zote mbili kwa kadri ya vipato vyenu na hii ndio maana ya kuunganishwa muwe mwili mmoja!
 
Sio kweli Gentlemen tunajitahidi sana Kuwakumbuka wazazi/Walezi pamoja na kuwa majukumu yetu ni mengi haswa kwa wale wenye fsmilia zao tayari.

Sasa mwanamke anajukumu gani kwa kipate chako, ni lazima ataonekana anajari wazazi wake haswa ukizingatia kipato chao wengi huwa hawataki kiguswe kwebye mambo ya kifamilia, wao wanasema hela zao ni zao na Mwanaume ni za Wote (Familia).
 
Hili suala limeibuka hivi karibuni wazazi hawataki watoto wao waoe kabisa hata kama wamepata kazi.
 
Wanaume Wana majukumu mengi kuliko wanawake.
Ni lazima uache Kodi ya meza ndani ukiondoka watoto watalishwa kiporo jioni utapikiwa vizur hakuna mwanaume mwenye Tabia ya kuuliza watoto mmekula Nini.
Akisave elf 2 kila siku ana Hela ya kikoba akipokea anamtumia mama yake.
Wanaume wenye saving ni wachache sana
 
Upo sahihi ni Bora Ukazaa watoto 10 wa like wawe Malaya watakutunza kuliko MAWAZIRI 30 wa kiume
 
Upo sahihi ni Bora Ukazaa watoto 10 wa like wawe Malaya watakutunza kuliko MAWAZIRI 30 wa kiume
Na wote wakifa kwa ukimwi au wakichuja wanakuachia wajukuu kibao nyumbani uwalee nawe umezeeka. Wanaume wana majukumu mengi watunze mke, watoto, plus wazazi.
 
Wanawake msijisifu sana ktk swala la hela wkt asilimia kubwa ya kipato chenu (wengi wenu SIYO WOTE) kinatokana na kudanga/kuchuna mabuzi, lugha sahihi ukahaba mwanamke mmoja ana wanaume michepuko 10 kila mmoja anampa hela, bado wa short time wasiohesabika, halafu mnajisifu mnatunza zaidi wazazi kwa kipato mnachipata ktk biashara zenu haramu, ambazo hazina leseni wala hamlipi kodi. Uhuru mliopewa mkizidi kuutumia vibaya bila shaka matokeo yake mtasababisha kuenea kwa siasa kali fanaticism and extremism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…