SahihiMungu yupo atawakuza tu.CDM msiitupe hii familia.Maana baba yao alikua mstari wa mbele kupigania chama chenu.
kukosoa ni dhambi,kuna sheria inasema ukikosoa unachuma janga?watawala wasiofata sheria ndio wana dhambi kubwa zaidi juu ya mtu huyuApart of all na sisi tulio. Nje ya lingo ya pasa kujua kabla hatujaingia kwamba mchumia janga hula na wa kwao so sahihi wapitie ugumu
Na Homera hii dhambi haitamuachaHii dhambi itamtafuna Samia mpaka anaingia kaburini.
Homera na RPCNa Homera hii dhambi haitamuacha
Inatia huruma sana
Alipigania Nchi sio chamaMungu yupo atawakuza tu.CDM msiitupe hii familia.Maana baba yao alikua mstari wa mbele kupigania chama chenu.