Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Mkuu, kisu hiki hukata pande zote mbili. Sijui kama umenielewa. Familia za kina Sadaam Husein, Gaddafi, Bokassa nk nazo zinalia!!! Check out!!
 
Inatia huruma sana
hili nifundisho kwa vijana wengine waache ujinga kama wa mdude , alikuwaga anatamba hakuna wa kumdhuru anajiamini sasa yeye hayupo wanahangaika watoto wake na mkewe na ndugu zake matatizo kawasababishia mdude kutokuwa na akili SIJUI NA HUYU MWANAMKE ALIKUBALI VIPI KUOLEWA NA HUYO KICHAA MDUDE sasa analalamika nini kwan alkikuwa hajui ujinga wa mume wake? atulie tu
 
Inatia huruma sana
Naomba kujua mahitaji muhimu ya familia hii kwa sasa ambapo baba wa familia hayupo, nipo na jambo la kufanya.

Tafadhali mliokaribu na familia hii just inbox me.

Naumia sana , mwana wa Mungu Mdude hakuwai kuwa kibaka just kulisemea taifa lake anatoweka ,huu unyama kwa kila mtia nia kwa jambo hili amefutwa katika ulimwengu wa dunia na Mbinguni asema Bwana.
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Hukumu ya kuuwa ni ya viongozi wa ccm au ccm inatakiwa kupeleka watu kwenye vyombo vya sheria?
 
Naomba kujua mahitaji muhimu ya familia hii kwa sasa ambapo baba wa familia hayupo, nipo na jambo la kufanya.

Tafadhali mliokaribu na familia hii just inbox me.

Naumia sana , mwana wa Mungu Mdude hakuwai kuwa kibaka just kulisemea taifa lake anatoweka ,huu unyama kwa kila mtia nia kwa jambo hili amefutwa katika ulimwengu wa dunia na Mbinguni asema Bwana.
acheni kujihurumisha ujinga wake ndiyo umesababisha yote hayo alikuwa anatukana anakejeli hata wewe mtu aanze tu kukutukana kukejeri wewe uko na familia yako takubali? acheni wateseke walikuw ahawamwambii kama anakosea? aliyataka mwqenyewe
 
Hukumu ya kuuwa ni ya viongozi wa ccm au ccm inatakiwa kupeleka watu kwenye vyombo vya sheria?
Hakuna haki ya kumtukana Rais au mzazi wako ,in any circumstances ,usijaribu ...Katiba iko wazi kabisa ..Raisi ni zaidi ya jina lake na jinsia
 
acheni kujihurumisha ujinga wake ndiyo umesababisha yote hayo alikuwa anatukana anakejeli hata wewe mtu aanze tu kukutukana kukejeri wewe uko na familia yako takubali? acheni wateseke walikuw ahawamwambii kama anakosea? aliyataka mwqenyewe
Haikuhusu , nchi inaongozwa kwa mjibu wa sheria , kama ndivyo usemalo kwa nini asingeshitakiwa na kama amekutwa na hatia akafungwa , kwanini sasa tupo na mahakama, jeshi la police, Magereza.

Kwamba kosa lolote nchi hii imekua ni kupotezwa ,mtalipa hii gharama kwa machozi makubwa asema Bwana .

Kuna maisha baada ya kuwa kiongozi popote ulipo
 
Mungu yupo atawakuza tu.CDM msiitupe hii familia.Maana baba yao alikua mstari wa mbele kupigania chama chenu.
Yaani watoto wa mdude leo chadema wanamwachia Mungu? Ndio maana wamemtelekeza today siku alipouawa hawana habari nae kabisa.
 
Wakati mwingine tusiwe tunatukana hovyo watu,hata kama ni harakati siyo kutusi mamlaka tuwe na kiasi,unauawa unakuwa hujasaidia jamii kupambania haki vile vile unaacha familia kwenye majonzi,utekaji na mauaji ni vitu vya kukemewa lakini harakati za kutukana watu matusi ya nguoni si busara,kuna watawala watakuacha lakini kuna wengine watakupoteza hawajali.
 
Waache wapate wanachokitaka ,kwenye kusimamia sheria hamna huruma
 
Back
Top Bottom