Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Hii dhambi itamtafuna Samia mpaka anaingia kaburini.
Na huyu mdude,itakuwa kuna dhambi inamtafuna,mpaka imemtanguliza huko aliko.Kumtukana mtu yoyote au kumkashifu ni.dhambi,kwa maana na yeye pia ana familia,ndugu na jamaa,ambao wanaumia,kuona ndugu au mzazi wake,anatukanwa bila sababu yoyote au kwa sababu yoyote
 
Wakati mwingine tusiwe tunatukana hovyo watu,hata kama ni harakati siyo kutusi mamlaka tuwe na kiasi,unauawa unakuwa hujasaidia jamii kupambania haki vile vile unaacha familia kwenye majonzi,utekaji na mauaji ni vitu vya kukemewa lakini harakati za kutukana watu matusi ya nguoni si busara,kuna watawala watakuacha lakini kuna wengine watakupoteza hawajali.
Ni kweli kabisa,yule unayemtukana kumbuka naye ana familia,ndugu na jamaa,na pia unawaumiza
 
Wakati mwingine tusiwe tunatukana hovyo watu,hata kama ni harakati siyo kutusi mamlaka tuwe na kiasi,unauawa unakuwa hujasaidia jamii kupambania haki vile vile unaacha familia kwenye majonzi,utekaji na mauaji ni vitu vya kukemewa lakini harakati za kutukana watu matusi ya nguoni si busara,kuna watawala watakuacha lakini kuna wengine watakupoteza hawajali.
Are you serious!? yaani matusi adhabu yake kifo??? Basi wale wahuni k.koo wangeisha matusi wanayoshushia watu asubuhi hadi jioni makaburi yasingetosha!
 
Mzee Kibao,Soka,mbise, mdude na Wengineo

Ni visa vya kusikitisha sana, jiwele upande wa mzazi ndo utaona maumivu yake yalivyo
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Haurushu weww kama nani?

Ila unaruhuau watu kuuawa hovyo? Matak** yako
 
hili nifundisho kwa vijana wengine waache ujinga kama wa mdude , alikuwaga anatamba hakuna wa kumdhuru anajiamini sasa yeye hayupo wanahangaika watoto wake na mkewe na ndugu zake matatizo kawasababishia mdude kutokuwa na akili SIJUI NA HUYU MWANAMKE ALIKUBALI VIPI KUOLEWA NA HUYO KICHAA MDUDE sasa analalamika nini kwan alkikuwa hajui ujinga wa mume wake? atulie tu
Unamuonea wivu huyo mwanamke kuolewa na mdude ungeenda akuoe wewe
 
acheni kujihurumisha ujinga wake ndiyo umesababisha yote hayo alikuwa anatukana anakejeli hata wewe mtu aanze tu kukutukana kukejeri wewe uko na familia yako takubali? acheni wateseke walikuw ahawamwambii kama anakosea? aliyataka mwqenyewe
Pumbavu mpuuzi mkubwa
 
Na huyu mdude,itakuwa kuna dhambi inamtafuna,mpaka imemtanguliza huko aliko.Kumtukana mtu yoyote au kumkashifu ni.dhambi,kwa maana na yeye pia ana familia,ndugu na jamaa,ambao wanaumia,kuona ndugu au mzazi wake,anatukanwa bila sababu yoyote au kwa sababu yoyote
Hajawahi kutukana, ila alikuwa anakosoa na kupigania katiba mpya.Acha ushwaini
 
Haikuhusu , nchi inaongozwa kwa mjibu wa sheria , kama ndivyo usemalo kwa nini asingeshitakiwa na kama amekutwa na hatia akafungwa , kwanini sasa tupo na mahakama, jeshi la police, Magereza.

Kwamba kosa lolote nchi hii imekua ni kupotezwa ,mtalipa hii gharama kwa machozi makubwa asema Bwana .

Kuna maisha baada ya kuwa kiongozi popote ulipo
NA HAKUNA SEHEMU IMERUHUSIWA KUTUKANA MAMLAKA HIYO ALITENDA DHAMBI KUBWA SANA ISIYOSTAHILI HURUMA KWAKE ANACHUMA ALICHOPANDA HAKUNA KUMHURUMIA MPUMBAVU KAMA MDUDE
 
Wakati mwingine tusiwe tunatukana hovyo watu,hata kama ni harakati siyo kutusi mamlaka tuwe na kiasi,unauawa unakuwa hujasaidia jamii kupambania haki vile vile unaacha familia kwenye majonzi,utekaji na mauaji ni vitu vya kukemewa lakini harakati za kutukana watu matusi ya nguoni si busara,kuna watawala watakuacha lakini kuna wengine watakupoteza hawajali.
VIJANA WANAANGAMIA KWAKUKOSA MAARIFA YAAANI UNASHUPAZA SHINGO KAISA KUTUKANA MAMLAKA WE NI NANI UACHWE ?
 
Sasa kelele zote unapiga huku mitandaoni . Si mlisema watu wa Mbeya mtaandamana kiko wapi?
WANAHUO UBAVU ? MWABUKUSI MWENYEWE ANAONGEA MPAKA ANAKAUKA SAUTI ETI AKIRUDI MBEYA HAONDOKI MPAKA MDUDE KAPATIKANA SASA MWEZI UMEISHA NA HAONGEI KITU TENA HAHHAAAAAA MWABUKUSI MKWARA MWIIINGI MANENO MATUPU HUYU M BUZI NAYE
 
Back
Top Bottom