Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Sitokuja kuingia mtego was kulaumu CCM,Marais wastaafu n.k!

Kilichopo ni matokeo ya maamuzi ya aina ya siasa zetu zilivyopangwa kuwa!!Kuna wanausalama walikaa wakatengeneza hicho kituko Cha siasa zetu zilivyo!!

Ccm ilianza 1977 uhuru tulipata 1961 samiah kaingia 2021 analaumiwaje wakati anatumia madhaifu ya Baraza la usalama Kwa uzembe wait kutokua pro active Hadi mambo yameharibika!!?

Katina iliyopo ilipaswa ikomee kipindi mwinyi anamaliza muda wake walu kama tungechelewa kipindi Cha mkapa!!

Chama chochote kinapokaribia kupoteza Dola Kwa katiba ya aina hii lazima kiwe katili hasta chadema kingefanya hivyo hivyo!!
Very true
 
Humu amna kiongozi yeyote wa chadema aseme neno, kuhusu familia ya Mdude.
 
Mdude hakua adui wa nchi, Mdude alikuwa adui wa wanasiasa ambao hawapendi kusikia sauti za watu zinazokataa ujinga wao.
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Sikuhizi neno kutukana ni sawa na kumwambia ukweli mtu?
 
Wakati mwingine tusiwe tunatukana hovyo watu,hata kama ni harakati siyo kutusi mamlaka tuwe na kiasi,unauawa unakuwa hujasaidia jamii kupambania haki vile vile unaacha familia kwenye majonzi,utekaji na mauaji ni vitu vya kukemewa lakini harakati za kutukana watu matusi ya nguoni si busara,kuna watawala watakuacha lakini kuna wengine watakupoteza hawajali.
Mdude yes alikua na matusi fine vipi mzee Kibao?
 
Namba moja amezaa peke yake watoto wake ni special kuliko wa wengine wote ,useless women
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Hivi zile pesa anazotamba nazo Abdul niza Tanganyika au Zanzibar?
 
Halafu kuna fala fulani linajijua utalisikia mama anatosha,labda kama anawatosha yeye na wehu wenzako
 
Huku ni kujidanganya. Tafuteni suluhu ya matatizo, hakuna upuuzi uitwao dhambi. Hata kama kupo kweli kutafunwa na dhambi, faida yake nini na dhuluma bado inafanyika!??
Kumtukana na kumkashifu mtu,ni dillhuluma kubwa sana
 
Back
Top Bottom