Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .

..si ruhusa kuuwa watu hovyo.

..kama mtu hawezi siasa akafanye shughuli nyingine.
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Msiumizane kwa mambo yanayopita - ipo raha gani kuumiza wenzako sababu ya siasa
 
Nilimpenda sana huyu bwana kutokana na anavyojieleza.
Sina uhakika kama yuko hai au la lakini kwa alivyotendewa naendelea kuamini kuwa waliotekeleza lile tukio, waliowatuma na waliopanga kwa sasa nafsi zao zinapitia maumivu makali wakiwa hai zidi ya yale waliyompitisha Mdude.
Unless wawe sio binadamu wa kawaida kama wengine
 
Dennis na Derick watakuwa wakubwa watasoma na kuhadithiwa dhuluma ya mateso aliofanyiwa baba yao. Waliofanya ushenzi na ukatili huo watakuwa hawana nguvu tena umri utakuwa umewatupa.
Tunzeni na tweets zake za matusi pia...'mama alisema hakuna mwanaharakati tajiri-young killer msodoki'
 
Wanasiasa ni wa hovyo ,Rais anapelekeshwa na mfumo ,mlitaka demokrasia acheni kutia huruma ..Kama una familia kuwa na adabu .

Si ruhusu kutukana watu hovyo ,na risk za siasa ni hizo .
Trump anatukanwaaa mpaka anachorwa. Kama kosa lake ni kutukana angekamatwa ashtakiwe akakae selo. Hii kuvamiwa, kupigwa nyundo na kuburuzwa hadi damu zinachurizika siyo Ubinadamu.
 
hili nifundisho kwa vijana wengine waache ujinga kama wa mdude , alikuwaga anatamba hakuna wa kumdhuru anajiamini sasa yeye hayupo wanahangaika watoto wake na mkewe na ndugu zake matatizo kawasababishia mdude kutokuwa na akili SIJUI NA HUYU MWANAMKE ALIKUBALI VIPI KUOLEWA NA HUYO KICHAA MDUDE sasa analalamika nini kwan alkikuwa hajui ujinga wa
 
Huyu mama kwakweli sijui hizi swala tano hua anamsalia shetani au MUNGU mbona amekua muuji hivi MAMA DUNIA TUNAPITA TU HICHO CHEO UTAKUFA UTAKIACHA UTAJIRI HAUTAZIKWA NAO... NI SWALA LA MUDA TU.
 
Trump anatukanwaaa mpaka anachorwa. Kama kosa lake ni kutukana angekamatwa ashtakiwe akakae selo. Hii kuvamiwa, kupigwa nyundo na kuburuzwa hadi damu zinachurizika siyo Ubinadamu.
Acha uongo wewe ,wanaokamatwa hauwezi kusikia kwenye media zao hata Maandamano yanayoendelea huko hautasikia kamwe.
 
Haikuhusu , nchi inaongozwa kwa mjibu wa sheria , kama ndivyo usemalo kwa nini asingeshitakiwa na kama amekutwa na hatia akafungwa , kwanini sasa tupo na mahakama, jeshi la police, Magereza.

Kwamba kosa lolote nchi hii imekua ni kupotezwa ,mtalipa hii gharama kwa machozi makubwa asema Bwana .

Kuna maisha baada ya kuwa kiongozi popote ulipo
Nenda kawahoji walioweka mahakama,unadhani mahakama na sheria vimewekwa ili vikulinde upande wa pili au walioziweka?jiongeze!!
 
Nashindwa kuelewa kwanini watu hawajui kwamba madaraka ni kitu Cha kupita TU na Kuna maisha baada ya kustaafu.
Sasa imagine aliyemuua Mdude akistaafu anakuta mke na yatima wa Mdude ni jirani zake.
All in all Karma is a bitch and ,,,,,, tumeshamjua muuaji ni yule yule aliyemuua Chaula akitegemea atakaa kwenye kile cheo kumbe wenzake walikua wanamtumia Kama toilet paper.
 
Wamejimilikisha kazi ya Mungu! Limeshika kazi hili la umwagaji damu! Halitakoma maana ni laana inalitafuna taifa
 
Bi. Mkubwa kwa tamaa ya madaraka kaamua kuweka agano na shetani kusahau hii dunia ni transit tu.
Alipigania Nchi sio chama

Inatia huruma sana
Kila nikitaka nilale kuna ono linaniijia mara kwa mara.
Naona kuwa Mdude Nyagali walimteka, wakamtesa, wakamfira, wakamng'oa meno na macho.
Mwisho wakampiga risasi na kumtupa msituni!

Wahusika: Kikosi kazi cha utetezi na ulinzi wa viongozi. Wanapiga doria mitandaoni. Wanakiri kwamba washawafanyia hivyo vijana wengi wengine bado wapo mikononi mwao wengine walisha-wadispose!

Waratibu: Kamtandao ka Waziri Salum, Steve Nyerere, Mafwele, Makonda, baadhi ya polisi/mgambo + machawa wa UVccm!

Kosa: Kutumia hoja ngumu, kuhoji hoji vitu wao wanadai kwa kumdhalilisha na kum-amrisha Rais.

Adhabu: Kuteka, kutesa, kubaka/kufira, kudhalilisha, kuua!

Malipo: Chakula, mavazi, malazi, pombe, madawa ya kulevya, usafiri na matarajio ya teuzi!

Matokeo: Kuna mgawanyiko ndani ya mifumo. Hivyo utendaji wa kikosi kazi unafanyika kwa usiri mkubwa! Polisi wa kawaida wanatishwa hivyo wanaonekana kujiweka mbali na ishu za wasiojulikana!

Ninaona migawanyiko miongoni mwa viongozi wa serikali, ccm na vyombo vya usalama.
Ninaona wazi amani na imani imetoweka miongoni mwa wakuu. Wanaweweseka! Nafsi zinawasuta! Maswali yamekuwa mengi ndani na nje ya mifumo!
Kwenye ono hilo viongozi wengine wanajiuliza sasa kama hayo ni makosa Sheria si ziko wazi wakosoaji washtakiwe mahakamani?
Utetezi ni kuwa kesi za hivyo zinawapa kiburi, umashuhuri na ushawishi zaidi!
Wastaafu wanaohoji hoji wanatishiwa kukatiwa mafao na stahiki zao...wanaufyata!

Ninaoneshwa kwamba Lissu anaachiliwa na CDM wanashawishiwa kushiriki uchaguzi... Lakini matukio ya vikosi kazi yanaendelea kwenye kampeni hadi mwakani...

Kwenye michakato ya uteuzi na kampeni wagombea wengine wenye nguvu ya fedha wa nafasi za udiwani, ubunge nao wanaanza kuiga na kufadhili vikosi kazi kuwalinda na kuadhibu wapinzani wao na wananchi wa kawaida wasiowaunga mkono. Wajumbe watatekwa, kufuatiliwa na watakaobainika kula fedha za rushwa watashughulikiwa...

Hali inaendelea kuwa mbaya hadi vijijini wazee wanapotezewa vijana wao... wamama wanalaani kila kona...
Viongozi wa dini wanaingilia kati lakini nao wanagawanyika...
Linatokea kundi moja la viongozi wa dini wenye ushawishi linatahadharisha dhidi ya uasi, visasi, utekaji, utesaji, udhalilishaji na uuaji! Wanapuuzwa...
Uchaguzi unafanyika wa ovyo kuliko nyakati zote za nyuma... Uchakachuaji wa kutisha!
Sauti za wapinzani waliodhulumiwa kwenye matokeo ya kura na za wananchi waliopotezewa ndugu zao zinazidi kusikika kutoka kila pande...

Utawala wa awamu ya aliyetangazwa mshindi wa uchaguzi Mkuu unakuwa na madhila mengi zaidi ya awamu nyingine zote... viongozi wastaafu wengi wanafariki vifo vyenye utata... Nchi inaweweseka na kukosa dira... Migawanyiko ndani ya serikali, chama tawala na kwenye vyombo vya ulinzi na usalama...

Raia wanaingia barabarani kwenye miji mikuu ya Tanzania kudai haki zao... Watu wanasafiri kutoka vijijini kuja mijini kutaka kujua nmustakabali wa ndugu zao waliopotezwa...

Rasmi nchi imeingia Maandamano yasiyo na ukomo yanatangazwa... Vijana wa kike na kiume wapo mstari wa mbele!
Kila mmoja anashindwa kuamini anachokiona... Watanganyika wamejaa ujasiri na morali ya ajabu... Mitandao inazinazimwa nchi nzima...

Polisi wanaingilia kati... Wanapiga risasi, wanawatia watu ulemavu na kuua wengine... Wengine wanajazwa kwenye magereza madogo yaliyopo... Hali ya hatari inatangazwa...
JWTZ wanatoa kauli...
Viongozi wa dini wanaingilia kati kuipatanisha serikali na wananchi...
Hali inazidi kuwa mbaya...

Afrika Kusini anachukua jukumu la upatanishi dhidi ya serikali na upinzani...

Ghafla alarm inalia... Kucheki ni saa 11:00 alfajiri... Ijumaa tarehe 27.06.2025
 
Back
Top Bottom