Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

Hakuna cha Bimkubwa wala Bimdogo. Urais ni TAASISI, wewe utadhani unamponda Samia kumbe unaitukana Taasisi ya Urais. Ikitoa makucha yake, madhara ndiyo hayo
ok, japo umeandika kwa ghadhabu na msuto mno. i hope upo okay chief.
 
NA HAKUNA SEHEMU IMERUHUSIWA KUTUKANA MAMLAKA HIYO ALITENDA DHAMBI KUBWA SANA ISIYOSTAHILI HURUMA KWAKE ANACHUMA ALICHOPANDA HAKUNA KUMHURUMIA MPUMBAVU KAMA MDUDE
Wa kudhibitisha mtu ametenda kosa ni mahakama tu, basi zifuteni maana kwa maoni yako hazina maana sasa , kwamba mtu anaweza amka hasubui na hasira mke wake au mme wake akasema poteza huyo.

Viongonzi watapita tu ila Taifa litaendelea kubaki , yuko wapo Nyerere, Maghufulo, Mwinyi , Mkapa na viongozi mbalimbali ,je taifa lipo au halipo , kwa hili mkuu mnaenda kulipa gharama kubwa zikiwemo familia zenu ,mda mwalimu
 
Yaani watoto wa mdude leo chadema wanamwachia Mungu? Ndio maana wamemtelekeza today siku alipouawa hawana habari nae kabisa.
Je ni kweli ameuwawa ? Wenda ukaisaidia mamlaka , kama ameuwawa ,kauliwa na nani,ni imani yangu Mdude na wengine wapo hai, ila kwa kuwa umesema tumbie ameuliwa na nani mahali gani ,amezikwa wapi.
 
Inatia huruma sana
sana, muda mwingine unapofanyajambo ujue familia yako inaweza dhurika pia, alipokuwa anasema kufa ni kubadili makao alipaswa kukumbuka hayo makao mapya familia yake inaweza isiweze kuyafikia kirahisi
 
sana, muda mwingine unapofanyajambo ujue familia yako inaweza dhurika pia, alipokuwa anasema kufa ni kubadili makao alipaswa kukumbuka hayo makao mapya familia yake inaweza isiweze kuyafikia kirahisi
Nani hatakufa?hata wewe utakufa tu ni swala la nyakati
 
Edward Lowasa aliahidi kumsomesha mtoto wa mawazo, ila sidhani Fred Lowasa anakumbuka ahadi ya babayake. Mdude makamanda wenzie familia zinaishi Belgium na Canada, yeye na wanae wanaishi mwanjelwa, muda mwingine za kuambiwa changanya na zako
 
Je ni kweli ameuwawa ? Wenda ukaisaidia mamlaka , kama ameuwawa ,kauliwa na nani,ni imani yangu Mdude na wengine wapo hai, ila kwa kuwa umesema tumbie ameuliwa na nani mahali gani ,amezikwa wapi.
Sass wewe sema mmemuweka wapi, siyo kubisha kwamba hamjamuua. Yuko wapi sasa?
 
Sitokuja kuingia mtego was kulaumu CCM,Marais wastaafu n.k!

Kilichopo ni matokeo ya maamuzi ya aina ya siasa zetu zilivyopangwa kuwa!!Kuna wanausalama walikaa wakatengeneza hicho kituko Cha siasa zetu zilivyo!!

Ccm ilianza 1977 uhuru tulipata 1961 samiah kaingia 2021 analaumiwaje wakati anatumia madhaifu ya Baraza la usalama Kwa uzembe wait kutokua pro active Hadi mambo yameharibika!!?

Katina iliyopo ilipaswa ikomee kipindi mwinyi anamaliza muda wake walu kama tungechelewa kipindi Cha mkapa!!

Chama chochote kinapokaribia kupoteza Dola Kwa katiba ya aina hii lazima kiwe katili hasta chadema kingefanya hivyo hivyo!!
 
Hii dhambi itaumiza sana watu, yaani wamekosa mbinu zoote za kumtuliza Mdude mpaka wafanya walichofanya?

Naamini zipo njia nyingi sana ambazo zingeweza kumtuliza Mdude.
 
Back
Top Bottom