Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Kwa hiyo miaka na ukizingatia Mzee afya ilikuwa mgogoro, sina uhakika km Mzee aliifaidi ile K!
Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchaga hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
 
Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchaga hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
lakini K-lynn ndie alie mpa mzee sababu ya kuishi, kwahiyo miaka michache. Wosia uheshimiwe jamani!
 
Kwa hiyo miaka na ukizingatia Mzee afya ilikuwa mgogoro, sina uhakika km Mzee aliifaidi ile K!
atakuwa aliifaidi ndio maana kaandika huo wosia kwa faidi yake na kizazi chake
 
Naona Jackline ana wwtu wake humu wakilazimisha kuwa watoto washapewa zao wakati wosia hausemi hivo
 
Cheap explanations, najuana na wafanyakazi wengi wa IPP,wengine wapo tokea kitambo sana. Hizo mbinu za kumdhulumu mjane zinaonyesha jinsi ndugu walivyokuwa wanatamani Mengi afariki ili wagawane mali zake, alifanya vizuri sana kuandika will iliyo crystal clear. Acha waendelee kujidhalilisha kwa kuonyesha tamaa zao kwa mali za marehemu, yaani hapo hata hawaoni haya kwamba kuna watoto wadogo na wanaathirika na hizi vuta nikuvute. They're showing us their true colours.
 
Hivi mzee unafikiria kweli?
.
Yani ndugu yake wa damu mama mmoja baba mmoja Benny aliyebaki peke yake humu ulimwenguni wengine wote alishafukia pamoja na wanae Reginald baada tu ya kumuacha mama yao akaendekeza wanawake kina Madam Rita wale wangeshindwa kumuua kipindi chote kile?
.
EATV hadi leo unaiona iko hivi leo unafikiri ni mkono wa mengi?
Come on man
Wale wangekuwa na nia hiyo wangeshamzimisha kitambo sana
.
Jaq ndiye ana tamaa ya mali anapenda matanuzi fulani hivi sasa anataka kutanulia mpaka pesa za kina Regina hiki ndio kitakua kiama chake.
Wosia kama ule ni wakishenzi na marehemu nae atakuwa mshenzi vilevile kama aliandika zikiwa zinamtosha.
.
Regina na Abdiel wamezisimamisha zile media yani Mengi alikuwa kama Kioo tu ila hakuwa anafanya lolote nashauri wamfanye mbaya Jaq yani ateseke vyenye hajawahi ona mpaka anafukiwa
 
Pesa hizi bhana, na huyo mengi angelikuwaga masikini haya yote yasingekuwepo.
 
Reactions: Qwy
Watateseka wao, waanzishe vyao basi manake unawapa sifa za kiduanzi. Nakumbuka kiwanda cha peni mid to late nineteen eighties wakati ndiyo anaisimamisha IPP eti leo sifa wanapewa watoto wa juzi.
Will ziheshimiwe, tamaa kwa mali za marehemu wakati haupo kwenye will ni kama ulikwa unatamani kifo kitokee ili urithi mali.
Kama haujapewa mgao kwenye urithi tafuta vya kwako.
 

Wewe ni kylin Tulia mama dawa ikuingie, umepanick 😂😂😂😂😂
 
Mzee wako ameanzisha kampuni ya usafiri wa mabasi akiwa na mama yako.
baada ya muda wewe kama mtoto wake ukashika nafasi yake ukaiendesha hiyo kampuni kwa mafanikio sana hizo sifa hupewi wewe zinaenda kwake ikatokea migogoro ndani ya nyumba wakaachana na mama yako.
.
Akaowa mwanamke mwingine tena uliyemzidi umri kwa wakati huo wote wewe ndiye director wa kampuni na una hisa zako za kutosha tu wewe na mama yako aliyeachwa, kazi ya mzee ni kwenda kwenye show off tu, kitambo kidogo mzee anafariki huyu bibie aliyeolewa juzijuzi hapa eti karithishwa mali zote yeye na vi_zygote vyake wewe na mama yako hamna hata thumni! Yani hata tairi hamjapewa😈😈
.
Utakubali?
Ni mfano tu
 
Watateseka wao, waanzishe vyao basi manake unawapa sifa za kiduanzi.
Alafu siwapi sifa hewa zinawastahili kabisa.
EATV kaanzisha Motie hakuanzisha Mengi.
Hizo mali ni za Abdiel, Regina na Mama yao tu.

Nakumbuka kiwanda cha peni mid to late nineteen eighties wakati ndiyo anaisimamisha IPP eti leo sifa wanapewa watoto wa juzi.
Regina na Abdiel sio watoto wa juzi wale wape heshima yao aisee.
Hata mtu wa 1995 huwezi kumuita mtoto wa juzi.

Will ziheshimiwe, tamaa kwa mali za marehemu wakati haupo kwenye will ni kama ulikwa unatamani kifo kitokee ili urithi mali.
Huu ni ujinga wa hali ya juu

Kama haujapewa mgao kwenye urithi tafuta vya kwako.
wana hisa za kutosha sana pale ila sio haki mwanamke from nowhere aje achukue mali zao haki ya mama nauwa
 
Kama sheria ya mirathi inampangia mtu hadi watu wa kuweka kwenye mgawanyo then sioni hata mantiki ya kuandika wosia.
 
Hiyo kesi ndogo sana wosia siyo kila kitu ni lazima mahakama iangalie kwanini mengi asiwape urithi sawa Watoto wake wote kama itaonekana akukuwa na sababu ya kubagua Watoto wake zinazo kubalika kisheria basi wosia auwezi kufuatwa
Sababu ya kuwabagua itatolewa na nani wakati mwenyewe Mengi kafa?
 
You're very stupid, eti mwanamke from nowhere. Hiyo sex aliyokuwa akipewa marehemu na K'lyn hao watoto wangeweza kumpa,hivi unajua faraja tupewayo na wenza wetu between the four walls?hao mapacha aliomzalia hao watoto wangeweza kumzalia. Kama ni hivyo ubaguzi wako wa kipumbavu wa mwanamke from nowhere hata mke wake wa kwanza(marehemu) naye alikuwa mwanamke from nowhere na akaolewa akawazaa hao watoto hao wanaokufanya unalialia kisa tu hawajaachiwa kitu kwenye will ya marehemu Mengi. Narudia tena hao ni watoto wa juzi coz I saw them back then wakiwa bado makinda na huwezi kumsifia mtu kuanzisha EATV wakati hakuutafuta huo mtaji wa kuianzisha, tafuta mtaji wako from the scratches ndiyo ujisifu umeanzisha kitu.
Na mkishindwa kesi sijui itakuwaje manake mali za marehemu mmezishupalia na kuzitolea macho na kawashangaza kwa kuukumbuka utamu wake na nyie kawatupilia mbali, tafuteni vya kwenu.
Bora huyo miss Tanzania wa zamani anapigania alichoachiwa kimaandishi na marehemu mume wake lakini sio nyie mnaopigani kile marehemu alichoona hapaswi kuwapa.
 
Huyu Dada na Dada yake na hivo vitoto vyatakiwa kusepeshwa maana wote watakuja sumbua sana
 
Kabisa,nilijifunza kutafuta vya kwangu since the age of 22. Huku ninakoishi(kwa Wazungu) hata kama ni kimada ambaye hakuwa akifahamika lakini ndiyo ameachiwa kila kitu na ikathibitishwa kuwa hiyo will ni halali hakuna ndugu atakayelalamika, waafrika tuna shida sana ya kutolea macho mali za marehemu hata kama marehemu hakuona kama kuna haja ya kutuachia kitu.
Kujizoesha kutafuta vya kwako ni jambo zuri sana.
 
Wamachame na ujanja wao woteee kwa huyu mtutsi wataangukia pua kama si kidevu, alooo binti kajipanga kweli kweli, na walla hakuna wa kufanya lolote
 
Kwa hiyo unataka tuwaige wazungu kwa kila kitu?😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…