Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Hii ndio shida ya wazee kupenda dogo dogo lazima ufe kifo cha mapema na lazima utacha migogoro nyuma hiyo ndiyo principal
 
Tupe hiyo mifano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Babu alimeacha bibi na watoto sita akaoa kigori akazaa nae watoto kadhaa akawapa uridhi wa mashamba yenye rutuba kilichotokea alikufa babu, akafuata kigori chake na watoto wake watatu kwa mfululizo, watoto waliobaki wanagombea ardhi na hawana mausiano baina yao ni ugomvi kila siku.

Upande wa baba yangu walipambana na kisoma vema wamekuea na mafanikio lakini baba zangu wakubwa 2 wao walifuata nyendo za babu matokeo yake familia zao wanamafarakano na ugomvi isio isha.
 
Aiseee hicho kisanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachagga wanajifanyaga ndo wakali wa hizi kazi.

Ngoja wafunzwe adabu.

Hapo Ni Kurogana Mwanzo Mwisho.
 
[emoji16][emoji16]
EATV, East Africa radio alianzisha marehemu MUTIE Mengi, alipofariki Regina ndo kaisimamia mpaka sasa, kwa hiyo Regina ana nguvu zake humo kwenye mali, i stand with Regina na Abdiel Mengi([emoji23][emoji23][emoji23] kwanza Abdiel hajaoa siwezi jua labda atanioa mie [emoji14][emoji14][emoji14])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom