Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Yaani anachokifanya jack ni uchawi
Kwani kuna kiasi fulani cha pesa ambacho binadamu huwa kinamtosheleza?

Mkuu mali ni za baba yao katafuta na mama yao na wao wanamchango wao, ni haki yao kabisa.
Yaani kajitu kaingilie miaka 4 tu akombe kila kitu watoto walioishi na mzee zaidi ya miaka 40 wakose.
Hii haiko sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia
Hivi mzee unafikiria kweli?
.
Yani ndugu yake wa damu mama mmoja baba mmoja Benny aliyebaki peke yake humu ulimwenguni wengine wote alishafukia pamoja na wanae Reginald baada tu ya kumuacha mama yao akaendekeza wanawake kina Madam Rita wale wangeshindwa kumuua kipindi chote kile?
.
EATV hadi leo unaiona iko hivi leo unafikiri ni mkono wa mengi?
Come on man
Wale wangekuwa na nia hiyo wangeshamzimisha kitambo sana
.
Jaq ndiye ana tamaa ya mali anapenda matanuzi fulani hivi sasa anataka kutanulia mpaka pesa za kina Regina hiki ndio kitakua kiama chake.
Wosia kama ule ni wakishenzi na marehemu nae atakuwa mshenzi vilevile kama aliandika zikiwa zinamtosha.
.
Regina na Abdiel wamezisimamisha zile media yani Mengi alikuwa kama Kioo tu ila hakuwa anafanya lolote nashauri wamfanye mbaya Jaq yani ateseke vyenye hajawahi ona mpaka anafukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16]aisee mbona unaongea pumba kiasi hicho... hivi unajua kuwa hata chanzo cha EATV lilikuwa ni wazo la mtoto wa mengi...wakati huo huyo gold digger wako alikuwa bado bado ananuka vumbi...

Yaani watu watafute mali waitunze..then yeye aje awapore kirahisi tu.... Huo ujinga sijawahi kuubariki.. na shauri wampoteze tu kabisa..ili iwe fundisho kwa malaya wenye tabia kama zake.... Aisee zile mali sio nengi pekee aliye zifikisha pale..hata wanae wakubwa walivuja jasho kuhakikisha kwamba kampuni zinaendelea kufanya vyema... so anacho kitafuta huyo kahaba mwenzenu atakipata... Yaani kama huo ndio wosia aliouacha marehemu nashawishika kuamini kwamba marehemu kifo chake kilikuwa na utata
Watateseka wao, waanzishe vyao basi manake unawapa sifa za kiduanzi. Nakumbuka kiwanda cha peni mid to late nineteen eighties wakati ndiyo anaisimamisha IPP eti leo sifa wanapewa watoto wa juzi.
Will ziheshimiwe, tamaa kwa mali za marehemu wakati haupo kwenye will ni kama ulikwa unatamani kifo kitokee ili urithi mali.
Kama haujapewa mgao kwenye urithi tafuta vya kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mutie hakufaidi utoto wake baba yake alikuwa anamfungia ndani ili wajaze wino peni za Bic.
Watoto wana mchango mkubwa sana aiseee.
Yeye Jack hakuwa na akili.
Alitakiwa mzee akiwa hai ambembeleze apewe miradi ya peke yake na wanae iwasaidie kule wasiguse, lakini bogus yule a kakazana kuspend na mzee na wapambe wake wakina Luca Na Nancy.
Hivi mpaka mzee amefariki Jack ana mradi gani mkubwa? Anahangaika tu mara shule mara Furniture mara maua.
[emoji16][emoji16]aisee mbona unaongea pumba kiasi hicho... hivi unajua kuwa hata chanzo cha EATV lilikuwa ni wazo la mtoto wa mengi...wakati huo huyo gold digger wako alikuwa bado bado ananuka vumbi...

Yaani watu watafute mali waitunze..then yeye aje awapore kirahisi tu.... Huo ujinga sijawahi kuubariki.. na shauri wampoteze tu kabisa..ili iwe fundisho kwa malaya wenye tabia kama zake.... Aisee zile mali sio nengi pekee aliye zifikisha pale..hata wanae wakubwa walivuja jasho kuhakikisha kwamba kampuni zinaendelea kufanya vyema... so anacho kitafuta huyo kahaba mwenzenu atakipata... Yaani kama huo ndio wosia aliouacha marehemu nashawishika kuamini kwamba marehemu kifo chake kilikuwa na utata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mutie haufaidi utoto wake baba yake alikuwa anamfungia ndani ili wajaze wino peni za Bic.
Watoto wana mchango mkubwa sana aiseee.
Yeye Jack hakuwa na akili.
Alitakiwa mzee akiwa hai ambembeleze apewe miradi ya peke yake na wanae iwasaidie kule wasiguse, lakini bogus yule a kakazana kuspend na mzee na wapambe wake wakina Luca Na Nancy.
Hivi mpaka mzee amefariki Jack ana mradi gani mkubwa? Anahangaika tu mara shule mara Furniture mara maua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili hiyo hata itoa wapi,wakati mawazo yake yy yalikuwa ktk udangaji,ili ajipigie hela za mzee.Sometimes inabidi hata yy mwenyewe aone aibu ,ila kwa kuwa ana tamaa basi tamaa yale inazidi mpaka kuifunika aibu yake.

Hata akipewa kampuni za Mengi nazo zitakufa au atazulumiwa sababu hana analo lijua ktk biashara kwani biashara anayo ijua yy ni kudanga tu na kutembeza K kwa matajiri.
 
[emoji16][emoji16]aisee mbona unaongea pumba kiasi hicho... hivi unajua kuwa hata chanzo cha EATV lilikuwa ni wazo la mtoto wa mengi...wakati huo huyo gold digger wako alikuwa bado bado ananuka vumbi...

Yaani watu watafute mali waitunze..then yeye aje awapore kirahisi tu.... Huo ujinga sijawahi kuubariki.. na shauri wampoteze tu kabisa..ili iwe fundisho kwa malaya wenye tabia kama zake.... Aisee zile mali sio nengi pekee aliye zifikisha pale..hata wanae wakubwa walivuja jasho kuhakikisha kwamba kampuni zinaendelea kufanya vyema... so anacho kitafuta huyo kahaba mwenzenu atakipata... Yaani kama huo ndio wosia aliouacha marehemu nashawishika kuamini kwamba marehemu kifo chake kilikuwa na utata

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol..! Wishful thinking na matusi juu, don't panic kwenye mambo yasiyo na impact yoyote kwenye maisha yetu.
Kila mtu yuko entitled na maoni yake.
Hao watoto wa marehemu kama ni kweli hawajaandikwa kwenye urithi wafunge mkanda watafute vya kwao,narudia na kusisitiza 'kama ni kweli hawajaandikwa kwenye urithi'.
NB;Naunga mkono uchunguzi 'independent' wa kifo cha marehemu.

Ati nini?

Hivi kwa nini hakuna uchunguzi mpaka sasa , I am 100% sure huyu dem kausika
 
K lyn ana nafasi kubwa ya kushinda kesi zote... na atarithi mali..

wale watoto mapacha wanamlinda sana..

pia mahakama inataka documents.. hao ndugu wa mengi wanaosema mengi alikuwa kachanganyikiwa wataombwa ripoti ya muhimbili kuonesha Mengi amechanganyikiwa kabla hajaandika urithi
Incase akishinda,trust me,atakufa !
Sina hamu na wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri wanamuua kikawaida? Hiyo ni kimazingara trust me
Anatupiwa hata liugonjwa tu anahangaika nalo mpk anakufa
IPP ndio mwisho wake. Huyu Mama hataishi Tz hivyo itabidi auze vitu asepe.
Akiuawa watuhumiwa wa kwanza ni Watoto na ndugu za Mengi hivyo wanakuwa wwmekosa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol..! Wishful thinking na matusi juu, don't panic kwenye mambo yasiyo na impact yoyote kwenye maisha yetu.
Kila mtu yuko entitled na maoni yake.
Hao watoto wa marehemu kama ni kweli hawajaandikwa kwenye urithi wafunge mkanda watafute vya kwao,narudia na kusisitiza 'kama ni kweli hawajaandikwa kwenye urithi'.
NB;Naunga mkono uchunguzi 'independent' wa kifo cha marehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni very ignorant way thinking, kuna vipengele vya sheria vinavyo wapa haki wahusika ya ku contest the will especially cama hakukuwa na consideration. Jisomeshe kidogo sheria huwezi jua ukawa next😎
 
Back
Top Bottom