DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Na utaingizwa kwenye list ya tetezi za kipumbavu kama zile ambazo huwa zinatolewa na mawakili wa serikalihiyo haiwezi kuwa hoja yaan huwezi shinda kesi kwa kusema tu 2015-2019 ni muda mchache hivyo asipewe urithi, utashindwa kesi vibaya mnoo!
Mimi nikajua sisi wachaga ni moja ya makabila yaliyostaarabika. Kumbe na sisi tuna uswahili wa kipumbavu uliotukuka wa kugombania mali za marehemu kama jamii nyinyi za Afrika.Mambo ya kawaida tu ukiwa na pesa. Unazitafuta mwenyewe wanaotaka kuzitumia ni ndugu na wapambe.
Hata mm hapa pamenifurahisa maana sijaelewa mantiki ya iyo bukuWakishinda kesi si ndio wanakula buku??[emoji23][emoji23]
Mzee.mengi kweli ni mafia
Pesa haina kabila.Mimi nikajua sisi wachaga ni moja ya makabila yaliyostaarabika. Kumbe na sisi tuna uswahili wa kipumbavu uliotukuka wa kugombania mali za marehemu kama jamii nyinyi za Afrika.
Hapo ulipo unamiliki baiskeli moja na tekno chakavu!Yani kirahisi rahisi mali itoke Machame hadi Manyovu. Hicho kijane kwanza kilimchakaza mzee hadi akafa. Hapa jambo rahisi kuliko yote ni kuondoa mtu.
SIO FAIR HATA KIDOGOOO YAAANI WATOTO WA MKE WA KWANZA WANAWEKWA KANDOOOO?????
Sio kwa mauno yale ya nyimbo zakeYani kirahisi rahisi mali itoke Machame hadi Manyovu. Hicho kijane kwanza kilimchakaza mzee hadi akafa. Hapa jambo rahisi kuliko yote ni kuondoa mtu.
Key point ustaarabu sio pesa.Pesa haina kabila.
Kama alivyofanywa Lisu..Huyu K ni wa kumla shaba tu
Sio jeriko/jericho war....mfekane war inanukia hapa
Machame kutakalika kweli?Klyn ashukuru amepata nyumba ya Dar na Machame, watoto watasomeshwa tu.
Hoja yao nyepesi sana.....Na alichanganyikiwa kuanzia 2017 alipoandika Wosia mpaka anakufa siku zote hizo alikuwa amechanganyikiwa ?
Mbona biashara zake alizisimamia vyema ?
Mbona alikishiriki vyema kwenye sociql events akaandika mpaka kitabu ?
Key point ustaarabu sio pesa.
Jitahidi usiwe myopic
Hapo ndio panatanabahisha mzee alikuwa chizi....hatar .. sana!Hata mm hapa pamenifurahisa maana sijaelewa mantiki ya iyo buku
Umetumia sheria au hisia?Mimi nafikiri kwenye suala la mirathi mwenye mali anaweza kumpa mtu yeyote ampendaye hata akiwa ametoka nje ya familia. Kitu cha msingi ni kuangalia km huo wosia ni genuine!