Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Hata mm kila nikifikiria dini ya kiislam najikutaga natamani sana nijifunze kitu kwao. Hata ndoa zao ukifanya uchunguzi wanawake wa kiislam kunakitu flani kama wanafundishwa tofauti na wakwetu hawa, wanawake wa kiislam hawako after money kabisa.
 
Kisheria iko wazi sana....ila kwa sisi "Waafrica" kuna sinema inakuja.....
 
Hapa ndipo naona umuhimu wa falsafa zangi za.

1. Sitaki mali ya urithi. Natafuta yangu mwenyewe.

2. Kama kuna cha kumrithisha mtu nitamrithisha kadiri ninavyoweza nikiwa hai bado. Nikifariki sijui yatakayotokea.
 
Hata mm kila nikifikiria dini ya kiislam najikutaga natamani sana nijifunze kitu kwao. Hata ndoa zao ukifanya uchunguzi wanawake wa kiislam kunakitu flani kama wanafundishwa tofauti na wakwetu hawa, wanawake wa kiislam hawako after money kabisa.
Tembelea mahakamani usikilize kesi za mirathi
 
Unadhani ni wajinga hao waliosema mzee alikua amechanganyikiwa ? Unadhani hawana vielelezo?
 
Kesi yako ni irrelevant na ya Mengi,kasome sheria ni vitu gani vinaweza kufanya mzazi aondoe watoto kwenye wosia,hao wa kwako walifanya moja ya vitu ambavyo kisheria vinaweza kuwanyima urithi

Kesi hiyo iko relevant kabisa NA hii ya watoto WA Marehemu Mzee Mengi.
Hapo kwenye post yangu ys awali Mimi nimejaribu kufafanua motives zilizomsukuma huyo Mzee kuandika wosia, lakini wosia wenyewe halisi WA mzee huyo ulikuwa mfupi kabisa .Yeye kwenye wosia wake alieleza KWA kifupi kabisa.Nakumbuka baadhi ya maneno yaliyoandikwa kwenye wosia wake yalielekeza kama hivi:-
"akiwa NA AKILI zake timamu, bila ya kulazimishwa au kushawishiwa NA MTU yeyote yule, NA KWA mapenzi yake ya dhati kabisa dhidi ya mjukuu wake, ameamua KWA hiyari yake mwenyewe kukabidhi urithi WA Mali zake zote KWA mjukuu wake huyo endapo kama yeye atafariki dunia. Asitokee MTU mwingine yoyote kumwingilia haki yake hii"

Kumbuka, Wosia huo haukueleza sababu yoyote ile ya kuwanyima urithi WA Mali watoto wake, licha ya kwamba alikiri kwenye wosia huo kuwa ana mke NA watoto NA watoto watano.

Nakumbuka Kesi hiyo ilipofikishwa Mahakama Kuu ilikuwa chini ya Jaji Mihayo, NA mwishowe iliamriwa kuwa urithi wote wa Mali za marehemu akabidhiwe mjukuu wake, na watoto WA marehemu walinyang'anywa Mali zote.
 
Mbona mzee katoa hisa zake tu kwa K-lyn na watoto wake. Walioenda mahakamani bado wamebaki na 70% na iligawanywa mapema sana.So sijaelewa argument humu ni nini? kwama walitaka na hizo 30% wapate mgao tena na washakuwa watu wazima? Hao watoto wadogo watalelewaje?
 
Na lazima kwenye ushahidi Mahakama ilithibitisha watoto hawakumjali baba yao,Je watoto wa Mengi walimtelekeza baba yao?
 
Hizo asilimia ni za IPP,kuna Makampuni ya Vito na Madini ambayo yalikua ya Mengi alone
 
Hizo asilimia ni za IPP,kuna Makampuni ya Vito na Madini ambayo yalikua ya Mengi alone
Sasa hao wazee wazima 70% za IPP haziwatoshi? na hizo kampuni za vito na mafuta n.k zilikuwa hazijasimama kiasi hicho. Mengine ni ya kifamilia zaidi but naamini alifanya hivyo kwa kujua sababu.
 
Sasa hao wazee wazima 70% za IPP haziwatoshi? na hizo kampuni za vito na mafuta n.k zilikuwa hazijasimama kiasi hicho. Mengine ni ya kifamilia zaidi but naamini alifanya hivyo kwa kujua sababu.
Hawajasimama vipi?haki haina cha mnyonge wala mwenye hela
 
EATV, East Africa radio alianzisha marehemu MUTIE Mengi, alipofariki Regina ndo kaisimamia mpaka sasa, kwa hiyo Regina ana nguvu zake humo kwenye mali, i stand with Regina na Abdiel Mengi([emoji23][emoji23][emoji23] kwanza Abdiel hajaoa siwezi jua labda atanioa mie [emoji14][emoji14][emoji14])
So sad mali atafute mwingine kugombania wengine
Life hili daah
 
Kwani kuna kiasi fulani cha pesa ambacho binadamu huwa kinamtosheleza?

Mkuu mali ni za baba yao katafuta na mama yao na wao wanamchango wao, ni haki yao kabisa.
Yaani kajitu kaingilie miaka 4 tu akombe kila kitu watoto walioishi na mzee zaidi ya miaka 40 wakose.
Hii haiko sawa kabisa.
Sasa hao wazee wazima 70% za IPP haziwatoshi? na hizo kampuni za vito na mafuta n.k zilikuwa hazijasimama kiasi hicho. Mengine ni ya kifamilia zaidi but naamini alifanya hivyo kwa kujua sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…