Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"



Kwa hiyo wasipate urithi wa baba ? FYI mzee hajatoa tu shares zake ametoa kila kitu chake kwa kylin

Hakuna hiyo habari kwamba eti urithi kwa mama kwa baba husirithi Eti kwa kua watoto wa nyumba ndogo watalelewa vipi,
 
Mkuu mali ni za baba yao katafuta na mama yao na wao wanamchango wao, ni haki yao kabisa.
Yaani kajitu kaingilie miaka 4 tu akombe kila kitu watoto walioishi na mzee zaidi ya miaka 40 wakose.
Hii haiko sawa kabisa.
[/QUOTE]
hujakosea mkuu Sun of a beach.
Kwa mwendo huo haimake SENSE lazima madogo wapate share
 
Kumbee ndio ulikofikia huko
 
gadeeeeeeem,ishakula kwao,sasa jamaa kashaandika wosia na kasema wakishinda kesi walipwe buku ha ha haaaaaa,k lyn ni nyoko
 
Mjukuu aliachwa hai huyo?
Hata kutiwa uchizi hajatiwa?
 
SIO FAIR HATA KIDOGOOO YAAANI WATOTO WA MKE WA KWANZA WANAWEKWA KANDOOOO?????
Watoto wana shea zote za marehemu mama yao kwny makampuni yote. Pia wakati mengi anatengana na marehemu mkewe aliwagawia kina regina mali, kila mmoja alipewa nyumba na biashara aliyotaka kufanya (wakati huo) na alipokufa mama yao zile hisa zake zote wakarithishwa watoto (kina regina) sema bas tu binadam haturidhiki

Lazima watambue wale wadogo zao bado wadogo wana safar ndefu kufika kama wao hasa ukizingatia maisha waliyokulia. Leo hii wamnyanganye jack hzo mali, watalea wale wadogo zao? Waache ubinafsi
 


Umecomment pumba , kwa kua baba yako alikusomesha , umekua akakupa Zawadi ya nyumba na gari una maanisha urithi wake akachukue mchepuko kwa kua alikupa nyumba na akakusomesha na mkamsaidia kuendesha family business?
 
Kwani kitabu au vitabu vikubwa duniani huwa vinaandikwa kwa mwaka mmoja au miezi?
Kile kitabu alikipigia promo tokea anaanza kukiandika na kuanzia ule muda wenzetu wadai alishakuwa taahira, okay let's say alikianza kabla bado itakuwa inamaana alikihitimisha na kuki'launch akiwa ameshawehuka. I bet that's your point, hivyo chizi huyo ndiye aliyehitimisha na ku'launch kitabu(amazingly good and sensible book) na hali kadhalika ndiye aliyeandika will(probably good will as well).
 
Umecomment pumba , kwa kua baba yako alikusomesha , umekua akakupa Zawadi ya nyumba na gari una maanisha urithi wake akachukue mchepuko kwa kua alikupa nyumba na akakusomesha na mkamsaidia kuendesha family business?
K'lyn was legally married, hiyo term mchepuko itafutie inapohusika.

Pale mtu pumba anapoona mwenzie kaandika pumba, you're a psych case.
 
K'lyn was legally married, hiyo term mchepuko itafutie inapohusika.

Pale mtu pumba anapoona mwenzie kaandika pumba, you're a psych case.


Kuna ndoa mbili za kanisani ? 😳😳😳
 
Nadhani walifanya hivyo na ndio maana kabla ya huyu alikuwepo madame Rita Marley nadhani story yao ipo
 
Kuna ndoa mbili za kanisani ? [emoji15][emoji15][emoji15]
Zilifungwa au hazikufungwa? au wewe ndiye kiherehere mtambuzi na mhalalisha ndoa?
Two grownups waliamua kufunga ndoa na kuihalalisha,who are we to judge? Kama walifuata sheria za nchi hata makanisa yote yasiitambue haitawasaidia.
 
Kitabu kile alianza kukiandika muda mrefu sanaaa na nauhakika hujawahi kukisoma.
.
Yule mzee hakuwa sawa kiakili sehemu mablimbali alizokuwa anahudhuria alikuwa anazungumza vitu kwa kurudia rudia alafu anajishitukia kabisa hakuwa sawa.
Yule mzee alishabaki kama pambo tu Jaquelin akatumia hiyo chance kumfanya dondocha lake jwa sababu IPP ilikuwa inaendeshwa na watoto yani sijui nielezeje.
.
Kuna wafanyakazi wengi sana IPP yule mzee hawajawahi kumuona akitia maguu yake kwenye zile ofisi Shirimatunda ndo kabisaaa kuna watu wamezisimamia hizi kampuni.
Kuna waandishi wa habari za kiuchunguzi walikuja TZ mwaka jana kuchunguza athari za makopo ya plastic yanayozalishwa na Cocacola cha kushangaza walimfata Abdiel😂😂 kumuhoji
.
Ingia kwenye tovuti ya RT RT.com kuna hiyo interview wameifanya coco beach, kwenye kiwanda cha Cocacola wamemuhoji abdiel pamoja na boss wa Cocacola duniani ni mfaransa.
Yani Mengi alibaki pambo tu jaq watamfanya mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…