chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
R. I. P watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachekesha we mtu!!Tusishangae kuona mauaji makubwa sana na wizi mkubwa wa kura kutokea. Nashukuru Mungu niliamua kucheza mbali na siasa.
Mkuu huenda kukawa na jambo nyuma ya pazia,wanasiasa ni mamafia sana,huwenda amelipwa kisasi kwa jambo alolifanyaBaba wa watu sidhani kama hata hiyo hamu ya ubunge atakua nayo, watoto wana makosa gani eti sisi waafrika, kwanini?
Acha UONGOhuko Kibiti, Manerumango, Ikwiriri, Mkuranga hao CUF na CCM kufikisha vifo 39 ndio Uchaguzi kuisha bila kumwaga DamuHawa jamaa ilibidi waje bongo wapate semina elekezi ya kutoka chama twawala wa jinsi ya kufanya figisu za uchaguzi bila kumwaga damu
Mkuu hayo matukio sijawahi kuyasikia ndo nasikia kwako,labda inawezekana yakawa sababu ya mauwaji yanayoendelea hivi sasa,kama hutojali hebu fafanua zaidiAcha UONGOhuko Kibiti, Manerumango, Ikwiriri, Mkuranga hao CUF na CCM kufikisha vifo 39 ndio Uchaguzi kuisha bila kumwaga Damu
RIP watoto wazuri msio na mawaa ya kosa lolote
Kama rivals walikuwa kabila tofauti tujiandae Namanga kipindi cha uchaguziHuo ulikuwa sio uchaguzi mkuu ulikuwa uchaguzi ndani ya chama cha Jubilee kupata mgombea wa kwenda kupambana na mgombea wa chama cha NASA. Je maoni yako mambo yatakuwaje uchaguzi mkuu August 2017
Manji tena? Utakuwa Yanga wewe si bureMi nalijua Kenya mme-grow up na mko na akili mingi plus true democracy kupita manji mengine Africa Mashariki na Kati kumbe bado iko na mambo ya kutekana na kuua kama alshabab
Nchi ---> "nji"Manji tena? Utakuwa Yanga wewe si bure