Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

vita vilifanyika 2007. katiba ikaundwa 2010.
mbona hakukuwa na machafuko wakati wa uchaguzi 2013?

nimeenda.
 
Watoto hawa hawajui lolote kuhusu baba yao kutangaza nia kwa nini wanauwawa jamani. sSasa zinaishia hapa duniani kama ni kumkomoa wangewaacha watoto wasiohusika at all.
 
Hiyo ndio katiba mpya ya Kenya wanavyo implement.
 
Tusishangae kuona mauaji makubwa sana na wizi mkubwa wa kura kutokea. Nashukuru Mungu niliamua kucheza mbali na siasa.
Unachekesha we mtu!!
Ukiamua kucheza mbali na siasa!!
 
ni makosa kuwaacha watoto pekee yao hata kama ni kanisani...especially kama wewe ni mwanasiasa ama unawania kiti cha kisiasa...kama mtu wa kawaida, ni sawa kuwaacha Sunday School lakini kama unaishi maisha ya umma ni hatari mno...hata hivyo, ni jambo la kusikitisha kuwauwa watoto wasio na hatia..hwawajui lolote kuhusu siasa hizi zinazowafanya wauwawe.RIP
 
Hawa jamaa ilibidi waje bongo wapate semina elekezi ya kutoka chama twawala wa jinsi ya kufanya figisu za uchaguzi bila kumwaga damu
 
Watu wana roho mbaya,R.I.P watoto,nimehuzunika sana.
Yote hii kisa madaraka,yatatufikisha wapi jamani?
Hawa ndio viongozi ambao huwa wanakufa kiajabu tunasikitika kumbe ni laana kama hizi zinawaandama.
 
Baba wa watu sidhani kama hata hiyo hamu ya ubunge atakua nayo, watoto wana makosa gani eti sisi waafrika, kwanini?
Mkuu huenda kukawa na jambo nyuma ya pazia,wanasiasa ni mamafia sana,huwenda amelipwa kisasi kwa jambo alolifanya
 
Ohh. Thats very sad. Wangedili na huyo mgombea lkn sio watoto. Kama mzazi ningejitenga mbali na siasa na kuwa mtawa.
 
Hope iwe hata Tanzania wang'ang'ania madaraka wataogopa labda
 
Hawa jamaa ilibidi waje bongo wapate semina elekezi ya kutoka chama twawala wa jinsi ya kufanya figisu za uchaguzi bila kumwaga damu
Acha UONGOhuko Kibiti, Manerumango, Ikwiriri, Mkuranga hao CUF na CCM kufikisha vifo 39 ndio Uchaguzi kuisha bila kumwaga Damu
RIP watoto wazuri msio na mawaa ya kosa lolote
 
Acha UONGOhuko Kibiti, Manerumango, Ikwiriri, Mkuranga hao CUF na CCM kufikisha vifo 39 ndio Uchaguzi kuisha bila kumwaga Damu
RIP watoto wazuri msio na mawaa ya kosa lolote
Mkuu hayo matukio sijawahi kuyasikia ndo nasikia kwako,labda inawezekana yakawa sababu ya mauwaji yanayoendelea hivi sasa,kama hutojali hebu fafanua zaidi
 
Huo ulikuwa sio uchaguzi mkuu ulikuwa uchaguzi ndani ya chama cha Jubilee kupata mgombea wa kwenda kupambana na mgombea wa chama cha NASA. Je maoni yako mambo yatakuwaje uchaguzi mkuu August 2017
Kama rivals walikuwa kabila tofauti tujiandae Namanga kipindi cha uchaguzi
 
Ukiona wabunge wa ccm wanakatazwa/wanagombezwa kisa ni kwenda kumwona Mheshimiwa Lema kisongo ujue 2020 yatatokea bongo
 
Mi nalijua Kenya mme-grow up na mko na akili mingi plus true democracy kupita manji mengine Africa Mashariki na Kati kumbe bado iko na mambo ya kutekana na kuua kama alshabab
Manji tena? Utakuwa Yanga wewe si bure
 
Back
Top Bottom