Watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo na bado unasema unanipenda!?

Watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo na bado unasema unanipenda!?

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu

watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo

najua umefunzwa unyagoni kutunza Mume lakini sio Kama Mimi ,unafaa upate mume na uolewe na sio kuniganda Mimi

ukikaa utajua tu utakapokuwa na Akili utajua ni namna gani nakugiribu.
 
Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu

watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo

najua umefunzwa unyagoni lakini unafaa upate mume na uolewe na sio kuniganda Mimi

ukikaa utajua tu utakapokuwa na Akili utajua ni namna gani nakugiribu.
Hii ngoma aliimba kwaya masta. Mwana fa ft jide. Nikikuangalia usoni, moyoni napata aibu.
 
Una uhakika ile kitu uliokula leo mchana haikua kushabu mkuu...?
 
Back
Top Bottom