Watoto wa P Diddy

Mkuki huwa kwa kitimoto tu kwa binadamu mchungu
Umejuaje huo ni mkuki na si mpapaso tu?

Nimegundua hawa watu tunajifanya tunawajua, wakati hatuwajui, maisha yao hatuyajui, tunapata kilicho kwenye media tu.

Some of the things these people do and like are very strange and some of us will never understand that.

Kwa hivyo, usifikirie tu unavyoyaona maisha wewe ni sawa na hawa.

Nimeangalia tu mambo kama ushoga, kubadilisha gender na vitu vinavyoonekana vituko kwenye jamii yetu kwa ma celebrities wa US ni kawaida sana.

It's almost like washaishi sana haya maisha yetu ya kawaida sasa wamekuwa bored wanatafuta vitu ambavyo sisi tunaona vituko.

Na mtu kama huyo, kumuweka kwenye box lako unaweza kuwa unamkosea sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo mashoga wanakua mbadala wa wanawake kutegesha mimba mmmmh.

Umenikumbushaa vanga la Kanye West na James Charles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule shoga kibokoo kamchuna na kawekeza kwenye fashion.
 
Ajiweke tu wazi sisi hatuna tatizo nae, na aache kutuponda kwa kuhisi tunamzibia riziki.

Asijibane bane, nchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wawili mapacha
 
[emoji1787][emoji1][emoji1787][emoji1]et wasimbe na mafeminist
 
Kwahyo mashoga wanakua mbadala wa wanawake kutegesha mimba mmmmh.

Umenikumbushaa vanga la Kanye West na James Charles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule shoga kibokoo kamchuna na kawekeza kwenye fashion.
Kanye aliwahi kudate shoga?? Ni kipindi Gani? Kabla ya kuwa na Kim ama baada ya kuachana
 
Kanye aliwahi kudate shoga?? Ni kipindi Gani? Kabla ya kuwa na Kim ama baada ya kuachana
Km sio mfuatiliaji huwezi elewa, kipindi yuko na Kim, alikua ana date nae kimya kimya, baada ya kumdump ndo james akaenda LGBT kushitaki, na case ilifka had UN, alilipishwa kimya kimya Kanye, but alikataa hakuwahi date nae.

James Akaamua kuwekeza kwenye fashion.
 
UN isikilize case ya mtu kufirwa embu kawadanganye wapuuzi wenzako mkiwa mnafirana
 
Pamoja mkuu,tangu anamiliki badboy rec label huku akimfuga rapper bora dunia B.I.G NOTORIOUS...
Huku akiendelea kupiga pesa kupitia publishing rights za Mase ambaye kila kukicha anapambana haki yake irudi mikononi mwake.
 
UN isikilize case ya mtu kufirwa embu kawadanganye wapuuzi wenzako mkiwa mnafirana
Una habari UN kuna kitengo cha LGBT? na kuna wawakilishi huko? Na huyo James ni m1 wapooo.

Nidanganye iwejee?? James mwenyewe hata humjui.

Mbna unateseka sana, kila comment angu lazima u reply, hujui kukataliwa wee. Poleeeeeeeh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mambo yamekuzidi akili.
 
Watu hawajui ila wanabisha tu,hapo ukimuulza hata website za UN hazijui halafu analeta ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…