Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Asante
 

Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
 
hakuna aliyokamilifu ata bila hivi kuna linginela aibu yako hta hao wadogo watakua nayao
 
Mengi alianza kuwatia displini watoto wake muda mrefu. Wakati tunacheza breakdance Upanga kina Abdirl walikuwa wanatengeneza peni za BIC na baba yao katika kiwanda kidogo nyumbani kwao.

Kwa hiyo wamekaa kutafuta hela Zaidi.
 
Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.

Kwa jinsi Mzee Mengi anavyowindwa kuchafuliwa na mahasimu wake lazima wangetafuta namna ya kupata hizo picha au video akikoboana ili wamuaibishe..

Regina alishakuwa na mchumba, walikutana Vacation Italy ila kutambulishwa nyumbani Mzee akamkataa..
 
Ahahahahaha, mkuu utakuwa huwajua vizuri wewe. Ngona niishie hapa.
 
Niliwahi kutamani kuweka thread kama hii kuhusu Mh Mizengo kayanza peter Pinda!! Nikaogopa kubananishwa!! But now this you unleashed my peer appreciations to whom it's due!!asante sana
Hahaha ungeweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…