Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ilikuwa kashfa ya kutengenezwa,kabla haijatokea mzee mengi aliijua kupitia wana intelijensia wake,akaipunch!Kwani Motie si alikuwa mwanae na alipataga kashfa ya ngada!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa kashfa ya kutengenezwa,kabla haijatokea mzee mengi aliijua kupitia wana intelijensia wake,akaipunch!Kwani Motie si alikuwa mwanae na alipataga kashfa ya ngada!?
Mkuu hujanielewa.ngoja nikueleweshe kidogo. Sijasema watoto wa Mengi kwao Bukoba.nimesema kuna watoto wa kamanda Tibaigana walisumbia sana kitaa.hiyo familia ulikua na Lodge mitaa ya Tabata kanisani sasa wanae walikua wanawamaliza watoto wa tabata na around.sijui umenielewa?Mtoto wa Mengi anakuwaje wa bukoba tena mkuu?? Alikuwa anakaa mikocheni
Acha uongo labda upate ujui unachozungumzia,Je nikiwanda kipi cha umma alicho kabidhiwa?.Watoto wamelelewa vizuri ila mwenyewe kavuruga viwanda vya umma alivyokabidhiwa
Mkuu hujanielewa.ngoja nikueleweshe kidogo. Sijasema watoto wa Mengi kwao Bukoba.nimesema kuna watoto wa kamanda Tibaigana walisumbia sana kitaa.hiyo familia ulikua na Lodge mitaa ya Tabata kanisani sasa wanae walikua wanawamaliza watoto wa tabata na around.sijui umenielewa?
Duuuh[emoji15] [emoji15] [emoji15] kweli nimeamini maneno ya mleta uziHawako kwenye mtandao wowote wa kijamii...
Tukiitwa wote tuliopo JF mbona watu wataumbuka, wengi ni watu usioweza kuwategemea, wenye heshima na kazi zao.
Hiyo ni kweli kabisa anakoboa vzr sana. Sema ndio kimya kimyaRumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
Jamani wakubwa na wadogo niungeni mkono ni barikiwe kumuoa Salama Jabir naombeni maombi yenuWote siwaamini humu, Salama njoo umalize ubishi
Mengi alianza kuwatia displini watoto wake muda mrefu. Wakati tunacheza breakdance Upanga kina Abraham walikuwa wanatengeneza peni za BIC na baba yao katika kiwanda kidogo nyumbani kwao.
Kwa hiyo wamekaa kutafuta hela Zaidi.
Kiwanda cha revola, tanbond na toiletpaper vyote ameviuwaAcha uongo labda upate ujui unachozungumzia,Je nikiwanda kipi cha umma alicho kabidhiwa?.
Asante Mkuu hata Mimi siku wa nawafahamu.Wakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,
Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Huna cha kusema.Ahahahahaha, mkuu utakuwa huwajua vizuri wewe. Ngona niishie hapa.
Sio Nzowa fanya kautafiti. Aliehusika alihamishiwa WMN.Ushajibiwa huko juu hiyo ishu ilichezwa na Nzowa na akina Manji... Uliza Nzowa yu wapi sasahivi..
Unamjua vizuri Regina?!Kwa jinsi Mzee Mengi anavyowindwa kuchafuliwa na mahasimu wake lazima wangetafuta namna ya kupata hizo picha au video akikoboana ili wamuaibishe..
Regina alishakuwa na mchumba, walikutana Vacation Italy ila kutambulishwa nyumbani Mzee akamkataa..
ni kweli watu watahama humu..Tukiitwa wote tuliopo JF mbona watu wataumbuka, wengi ni watu usioweza kuwategemea, wenye heshima na kazi zao.
Sio Nzowa fanya kautafiti. Aliehusika alihamishiwa WMN.