Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Una uwakika? Kama hawafanyii bongo je? Napata taabu kidogo kwsbb kama baba anachukua kibinti / kitoto chake , sijui itakuwaje kwa wanaye
Ulimjua vizuri motie? R.I.P. motie
sasa si useme??
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..

All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..

Gone Too Soon Mutie..
Hawa ndio definition ya 'DOWN TO EARTH' huwezi kuwajua mpaka uambiwe huyu ni fulani. Abdiel mpaka kesho yuko hivyo.
 
Mie hata sijawaiwaona hata kwenye picha tofauti na wale mapacha wa sasa
 
Kichwa ndio utambulisho wa mwili mzima.Ukiskia fulani kichaa inamaanisha kichwa chake hakipo sawa.Nidhamu ya watoto wa R.Mengi ni mfano wake yeye kichwa cha familia.Hata mkewe Jacklyn hana makuu.Waendelee kujiangalia
 
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
........kuigwa
 
Back
Top Bottom