Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
Hata watoto wa Bakhresa nao hawanaga za kuuza sura, sasa watoto wa wale mabillionea wa pesa za madafu mama yangu wanauza sura kuanzia insta, whatsapp mpaka magazetini
 
Tatizo sio kuwajua vizuri. They managed to keep low profile. Kama kujuana hata wewe unatabia zako mbovu tu, hata Mkemia mkuu nae anatabia zake mbovu tu.. Ila hizo weakness zao wanaweza kuzificha na pia hawana nyodo kwenye mitandao au maisha ya kawaida kama watoto wengine wa matajiri
Ila mkuu kama ni kutusua warembo kibongobongo wala sio tabia ya kusema mbovu. Ishu inayozungumziwa ni mashauzi ya pesa kama ya baadhi ya watu wanaotuonesha midola yao mitandaoni.
 
Una uwakika? Kama hawafanyii bongo je? Napata taabu kidogo kwsbb kama baba anachukua kibinti / kitoto chake , sijui itakuwaje kwa wanaye
Ulimjua vizuri motie? R.I.P. motie
Itakua alicheleea kuja mjini huyu amekuja na basi la Buti La Zungu au Kiazi Kitamu, hao watoto wa kuzaa uzeeni subiri wakue utaona mashauzi huyo Motie sijui Mutie alikua mpenda starehe sana
 
Itakua alicheleea kuja mjini huyu amekuja na basi la Buti La Zungu au Kiazi Kitamu, hao watoto wa kuzaa uzeeni subiri wakue utaona mashauzi huyo Motie sijui Mutie alikua mpenda starehe sana
Yes motie namkumbuka
 
Back
Top Bottom