PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Si aligongwa na mtoto wa tajiri? Ungeendelea naye kinyonge tuNlimtema instantly mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si aligongwa na mtoto wa tajiri? Ungeendelea naye kinyonge tuNlimtema instantly mkuu
mbona hujaongelea watoto wa ZE MALOFA aka BEN.. unawajua tabia zao?Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
Hilo la mtoto Joshua sijui ila hiyo hoteli si ya Reginald ni ya Benjamin Mengi. Kwa nini mtoto awe analala hotelini? Kuna dalili za urere.yupo anasoma Edern Garden Moshi,na kila siku anapelekwa shule na gari na kurudi na analala Salsalnero hotel ya dingi ake....acha ubishi!!!! yuko standard seven sahiv
Na wewe wanao watauliza ulikuwa wapi wakati wengine wakipata utajiri. Komaa na wewe..Wazee wetu walikuwa wapi wenzao wakipata utajiri enzi hizo?
Back in the days.Hiyo ya break dance inanikumbusha sea view 'air India' , viwanja vya Gymkhana , magorofani Ohio, IPS Building na mitaa ya bunge in the 80' nawakumbuka kinda Nico scaba scuba, mpeni, chuche, Marlon, mzee Bachu, Abel siwale, Tom Nhigula, Joseph tungaraza, usungu 'Young Millionaire ' sijui hawa watu wako wapi !!!!!!
Uza korosho mkuuIle dili ya nzoa alipanga ilikua mwaka juzi....hakua mutie ni yule mdogo
kwani ya mengi ni ya halali? umevamia mji,behind every big fortune there is a great crimeHela ya halali inatumiwa kihalali hela haram ni full kujishebeduuua
Hahahaha,Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..
All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..
Gone Too Soon Mutie..
Hahahaha Iddi amesumbua sana aisee..Hahahaha,
mtoto Iddi kazua balaa, mtoto Iddi kazua mikosi...🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Hahahaha Iddi amesumbua sana aisee..Hahahaha,
mtoto Iddi kazua balaa, mtoto Iddi kazua mikosi...🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
He was a brat!Hahahaha Iddi amesumbua sana aisee..
Entirely agreedkwani ya mengi ni ya halali? umevamia mji,behind every big fortune there is a great crime
Sasa hapo watakuwa wawili mkuu sio wanne ukitoa aliyetangulia?wapo wawil kuacha yule aliekufa pia Kuna matwinc wa kylen
Angalau sasa amekuwa na ameoa yule Mwarabu wake..He was a brat!
I second you...kwani ya mengi ni ya halali? umevamia mji,behind every big fortune there is a great crime