Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa bongo ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri r. i. p.motiel mengi.. ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
mbona hujaongelea watoto wa ZE MALOFA aka BEN.. unawajua tabia zao?
 
yupo anasoma Edern Garden Moshi,na kila siku anapelekwa shule na gari na kurudi na analala Salsalnero hotel ya dingi ake....acha ubishi!!!! yuko standard seven sahiv
Hilo la mtoto Joshua sijui ila hiyo hoteli si ya Reginald ni ya Benjamin Mengi. Kwa nini mtoto awe analala hotelini? Kuna dalili za urere.
 
Hiyo ya break dance inanikumbusha sea view 'air India' , viwanja vya Gymkhana , magorofani Ohio, IPS Building na mitaa ya bunge in the 80' nawakumbuka kinda Nico scaba scuba, mpeni, chuche, Marlon, mzee Bachu, Abel siwale, Tom Nhigula, Joseph tungaraza, usungu 'Young Millionaire ' sijui hawa watu wako wapi !!!!!!
Back in the days.
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..
All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..
Gone Too Soon Mutie..
Hahahaha,
mtoto Iddi kazua balaa, mtoto Iddi kazua mikosi...🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
 
Back
Top Bottom